SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kutafutwa na nani...?Baada ya kushinda mahera ni mtu wa kwanza kutafutwa
Sana. Subira yavuta heriMajibu mazuri kutoka NEC
Hivi usemacho chewezeka? Hoja tu bila matusiNaanza kuamini kuwa sasa CCM imechokwa na vyombo vya dola na wanafanya makusudi kumfanyia fujo Lissu ili kuionyesha dunia kuwa CCM imeshashindwa hivyo inatumia vyombo vya dola kama NEC na Polisi kulazimisha ushindi. Huu ni mpango mahsusi wa kuiondoa CCM madarakani. Asanteni Polisi na NEC kuwa upande wa wananchi.
Acha uongo we kapuku,kama kuna kimbunga au hakuna ndio ikatue Somanga? Acha uongo wa kitoto...Tume wanasema Lissu alipangiwa Lindi, Nachingwea, na Mtwara.
..Lakini hawasemi kwamba helikopta yake ilizuiwa kutua Nachingwea, na Mtwara, kwa kisingizio kwamba kuna kimbunga.
..Kinachoonekana ni coordination ya mamlaka mbalimbali za serikali KUHUJUMU kampeni za Tundu Lissu.
Dar es Salaam. Polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali...
Kwakuzuiwa hata kujaza mafuta Mtwara mjiniUzuri, imeishajulikana kuwa Lissu na wenzake wanatafuta nongwa!
Kwani Tume wanashughulika na kutoa vibali vya helicopter kutua sehemu mpaka waliongele suala hilo? Wao wataongelea yanayo wahusu nalo ni ratiba..Tume wanasema Lissu alipangiwa Lindi, Nachingwea, na Mtwara.
..Lakini hawasemi kwamba helikopta yake ilizuiwa kutua Nachingwea, na Mtwara, kwa kisingizio kwamba kuna kimbunga.
..Kinachoonekana ni coordination ya mamlaka mbalimbali za serikali KUHUJUMU kampeni za Tundu Lissu.
Samia SUluhu Pale Kinambeu alisimama bila kuwa na ratiba ya kufanya mkutano pale.. na hata kuandika barua haikufanyika... JPM alisimama huko Ngara jirani kabisa na alipokuwa mgombea mwingine..!!! NDIMI MBILIChadema ni watu wa vurugu na uongo.
Acha uongo we kapuku,kama kuna kimbunga au hakuna ndio ikatue Somanga? Acha uongo wa kitoto.
Kwani Tume wanashughulika na kutoa vibali vya helicopter kutua sehemu mpaka waliongele suala hilo? Was wataongelea yanayo wahusu nalo ni ratiba
CCM wanaingiaje hapoVery wicked CCM. Shetani wakubwa.
Yeye mwenyewe anasema aliandika barua kufanya mabadiliko afanyie mkutano Somanga, we unaleta uongo...Ndio ukweli wenyewe huo.
..Tume ya Uchaguzi ilimpa ratiba ya Lindi, Nachingwea, na Mtwara...
Chadema kila kichaka wanacho taka kujificha ili kuepuka aibu ya kushindwa uchaguzi, NEC Wana kichoma moto kwa sasa wametaharuki.
Yeye mwenyewe anasema aliandika barua kufanya mabadiliko afanyie mkutano Somanga, we unaleta uongo.
Nec walikuwa wanajadili ombi lake,yeye akaleta ubabe,kama wewe unavyoleta uongo...Ni kweli aliandika barua.
..sasa kwanini hakupewa ruhusa?
..kwanini Polisi walishambulia wananchi kwa MABOMU?
..nini ilikuwa sababu ya kuuvuruga mkutano wa Tundu Lissu Somanga?
Matokeo ya majadiliano ya Nec yalikuwa nini?Nec walikuwa wanajadili ombi lake,yeye akaleta ubabe,kama wewe unavyoleta uongo.
Habari za kimbunga na TCAA ni uongo mkubwa sana.
hivi unafanya kazi saa ngapi ya kujipatia kipato?Chadema ni watu wa vurugu na uongo.