Uchaguzi 2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

Waongeze bidii ili,wapenda haki wahamasike zaidi kufanya uamuzi wenye manufaa kwa taifa letu.
 
Kwa wenye UFINYU wa akili.

CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuuπŸ‘

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe MagufuliπŸ˜πŸ‘

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. TutashindaπŸ€”πŸ‘Ž

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa TanzaniaπŸ˜πŸΉπŸΈπŸ’ƒπŸ‘

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaaπŸ˜†πŸ‘Ž

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwandaπŸ‘

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watuπŸ‘Ž

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watuπŸ‘

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watuπŸ€£πŸ‘ŽπŸ‘Ž

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda MagufuliπŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema BAK
 
UPUUZI MTUPU! aliyesema ccm kuna mafisi ni nani? Aliyesema ccm si mama yangu ni nani? acha kuonyesha UJUHA wako hadharani.
 
Kwanini asingesubiria ajibiwe? hilo ndio swali langu

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

..kwanini wasimpe ruhusu haraka kabla hajafika Somanga?

..Na alipokuwa tayari yuko on the ground, wananchi wamekusanyika, na hakukuwa na vurugu, kwanini hakupewa ruhusa kuendelea na mkutano?
 
UPUUZI MTUPU! aliyesema ccm kuna mafisi ni nani? Aliyesema ccm si mama yangu ni nani? acha kuonyesha UJUHA wako hadharani.
Ndio maana CCM wakamkata akaja kuwanunua CHADEMA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa CCM Lowasa hajawahi kuwa msafi ila CHADEMA mlifata pesa na ndio mkashindwaaaaa
 
Huyo anayejiita MWENDAWAZIMU ana usafi gani? Mbona yeye ni zaidi ya lowassa kwa ufisadi, ufujaji na wizi wa pesa za walipa kodi?

Amezifuja kutujengea uchumi imara wa sasa na vizazi vyetu.

Tuna mabarabara, mashule, vivuko, meli, ndege, masoko, maghala ya kuhifadhi nafaka, reli, umeme, viwanda nyie wa Amstadam mutuacheeeeee

Tunampenda sana kipenzi chetu John Pombe Magufuli

Kura zote kwake 28
 
Ndio maana CCM wakamkata akaja kuwanunua CHADEMA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa CCM Lowasa hajawahi kuwa msafi ila CHADEMA mlifata pesa na ndio mkashindwaaaaa

..na sasa anasema amerudi "nyumbani" kwa mafisadi wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…