jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Tutarajie shule za serikali hasa zile zinazofanya vizuri kama mzumbe,ilboru,tabora,kibaha kushuka sana kiwango cha ufaulu mana wanafunzi wa shule hizo husoma kwa bidii na morale ya kuwa TO sasa kama hiyo motive haipo tena,vijana hawatasoma kwa msukumo huo.