Jifariji.
 
Toka wameacha kupanga wanafunzi walioongoza,shule na Mikoa zoezi la kutangaza limekosa vibes ,binafsi Huwa sifuatilii tena
 
Spoon feeding
 
Nawaza hapa naanzaje kumwambia huyu ndugu yangu matokeo ya kijana wake..

Maana alikua anamsifia Ila muda huu kanambia pia kanipa namba za shule nimwamgalizie..

Nafikilia naanzaje kumweleza haya matokeo ya first born wake πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Ni huzuni sanaaa, huzuni kiasi au huzuni kawaida?
 
Kwa mara nyingine Wasichana wamewapelekea moto Vijana wa Kiume,huko tuendako itakuwa kawaida women empowerment imefaulu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFKe07-IfMh/?igsh=MWxnYXM4NHAxZ3cybA==
 
Mtoto wako hajafanya vizuri?
Hapana ni First born wa shemeji yangu..
Kuhusu Mimi kwenye ukoo wetu hususani baba zangu wotee...ukoo wa mama wotee..
Pia kwenye tumbo letu katika watoto wa Tano mama alio wazaa hakuna AMBAE amewai ku fail kielimu na wote Wana degree na wote Wana Maisha yao.......last born wetu ndio kamaliza udsm hapo last year so kuhusu elimu hio sekta tupo vizuri
Kwaio Mimi automatically siwezi kuzaa mtoto kilaza 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…