kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhah, Bungeni mbali, mie naona bora kiitishwe kikao cha dharura cha baraza la madiwani Manispaa ya Ilala agenda iwe moja tu "KUYAPITISHA NA KUYATANGAZA" 😀😛😀😀😛😛Wayapeleke Bungeni wabunge waka approve... 😀😀😀
kurudia private nayo imezuiliwa? Sidhani kama ni kweli, hebu tafuta taarifa za kutosha mkuu
Sekeseke la Mwanaisha JK wa Feza School lilifanya NECTA kufikiria upya uchapishaji wa namba badala ya majina.Wangeweka mfumo wa majina hii ya kuweka namba kwenye matokeo siipendi
Hahahahhampaka Rais ateue bodi mpya ya wakurugenzi, yako tayari lakini yanasubiri mamlaka ya kutangaza
Sijaona points hata moja hapo mkuu. Nyie mnaokula ziro ndo mnaoebdekeza usiri eti 'privacy' kwani mtihani ni jambo la siri?? Huu nfo mwanzo wa kuwa na viongozi na watendaji wabovu waliokula ziro na mkashindwa kupata reference.privacy ya mtu ni muhimu,pili majina yana mfanano mkubwa unawezan kuta jina moja wanalo watu zaidi ya wawili,so ni vyema kutumia namba.....tatu kuzuia wambea wambea wanaopenda kufuatilia mambo yasiowahusu,unataka kuona mtoto wa mwenzio kapata nini ili umcheke..