NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

Elimu na ufaulu wa kweli kwa upande wa O level Nchi hii ulikua mwisho 2007 baada ya hapo siasa na porojo tupu zimeingilia elimu yetu
 
Shule Kumi (10) Za Mwisho Kitaifa
1. Kusini – Kusini Unguja
2. Pwani Mchangani – Kaskazini Unguja
3. Mwenge SMZ – Mjini Magharibi
4. Langoni – Mjini Magharibi
5. Furaha – Dar
6. Mbesa – Ruvuma
7. Kabugaro – Geita
8. Chokocho- Kusini Pemba
9. Nyeburu – Dar
10. Mtule – Kusini Unguja
Zote kutoka kanda ya pwani na zote za serikali!!
 
Shule Kumi (10) Za Mwisho Kitaifa
1. Kusini – Kusini Unguja
2. Pwani Mchangani – Kaskazini Unguja
3. Mwenge SMZ – Mjini Magharibi
4. Langoni – Mjini Magharibi
5. Furaha – Dar
6. Mbesa – Ruvuma
7. Kabugaro – Geita
8. Chokocho- Kusini Pemba
9. Nyeburu – Dar
10. Mtule – Kusini Unguja
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 

Attachments

  • upload_2018-1-30_12-16-21.png
    upload_2018-1-30_12-16-21.png
    4.7 KB · Views: 55
Kwa Kuwa elimu ni bure kwa shule za Serikali kungeliwekwa kiwango cha ufaulu ili kuthibiti wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne wengi wao kufeli/kupata alama za chini.

Lakini pia sio vibaya wala dhambi kwa mwanafunzi kurudia darasa ili aelewe vizuri kuliko kufeli alafu baadae arudie kupitia QT.

Ili wanafunzi wafaulu vizuri nidhamu katika shule zetu, walimu kujali muda, wazazi kuwajibika kwa matokeo mabaya ya vijana wao, mazingira ya kufundishia na vifaa, stahiki za walimu na motisha ni masuala muhimu sana.

Kwa kuanzia serikali ifanye sampling ya kuthibiti ufaulu wa wanafunzi hasa kwa shule zake kongwe ili hapo baadae zitumike kuleta hamasa kama ilivyo kuwa zamani.
 
Back
Top Bottom