NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

[emoji3][emoji3]
 
Orodha ya walio Ongoza kitaifa kidato cha nne

Kulingana na orodha hiyo, Paul Luziga wa Panda Hill ameshika nafasi ya kwanza akifuatiwa na msichana Justina Gerald wa Canossa.

Mwanafunzi wa tatu ni Timothy Segu wa (Mzumbe), Isaya Rukamya(Feza Boys), Ashraf Ally (Ilboru), Samson Mwakabage (Jude), Derick Mushi (Ilboru).

Wengine walioIngia kumi bora ni Layla Atokwete (Canossa), Innocent Joseph (Mzumbe) na nafasi ya 10 ikishikwa na Lunargrace Celestine wa Canossa.
 
PDF ya hizo takwimu naomba uitume hapa
 
Naomba link ya kidato Cha pili mkuu
 
Kweli tunaona jitihada za Awamu ya 5 mpaka matokeo ya iv yanaharaka namna hii.. Miaka yetu unasugua kitaa miezi minne ndo tokeo linatoka.. Mwakani naamini itakuwa wiki 1 baada ya pepa tokeo linatoka
Sure...kwahili, mzee wetu...babu yetu...chalii wetu...muheshimiwa magufuli na watendaji wake wanastahili sifa.....wakati mwingine sifa zao wapewe..
 
Unaweza kuta kapa-form mbaya kabisa....
uje utupe mrejesho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…