NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
 
Muda wowote kuanzia sasa matokeo tajwa hapo juu yatawekwa hewani....
Sidhan Kama Ni sahii,
Iyo peaceland Ina sifuri za kutosha.

Ya KWANZA kitaifa Ni ST.FRANCIS GIRLS mbeya.[emoji116]

Hii ndo shule ya kupeleka mtoto, sijajua Kama wana primary pia
Primary wanayo lakini kama sikosei mwisho standard 3 mpaka sasa na walikua hawapokei wanafunzi ambao hawajaanzia nursery shuleni kwao sijajua kwa sasa kama wamebadili mfumo..
 
Primary wanayo lakini kama sikosei mwisho standard 3 mpaka sasa na walikua hawapokei wanafunzi ambao hawajaanzia nursery shuleni kwao sijajua kwa sasa kama wamebadili mfumo..
Nursery Bei gan
Nna mtoto wa Miaka 3 mkuu
 
huyo kama mwanangu kabisa yaan
 
Hili jambo lilikatiza ushikaji na wana wengi sana anyway mitihani na life ni vitu viwili tofauti
 
Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
Sijui kwa serikali ila naona combination ya HGK na HGL vimekaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…