NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
 
Muda wowote kuanzia sasa matokeo tajwa hapo juu yatawekwa hewani....
Sidhan Kama Ni sahii,
Iyo peaceland Ina sifuri za kutosha.

Ya KWANZA kitaifa Ni ST.FRANCIS GIRLS mbeya.[emoji116]

Screenshot_20210115-150925.jpg
Screenshot_20210115-151111.jpg
 
Hii ndo shule ya kupeleka mtoto, sijajua Kama wana primary pia
Primary wanayo lakini kama sikosei mwisho standard 3 mpaka sasa na walikua hawapokei wanafunzi ambao hawajaanzia nursery shuleni kwao sijajua kwa sasa kama wamebadili mfumo..
 
Primary wanayo lakini kama sikosei mwisho standard 3 mpaka sasa na walikua hawapokei wanafunzi ambao hawajaanzia nursery shuleni kwao sijajua kwa sasa kama wamebadili mfumo..
Nursery Bei gan
Nna mtoto wa Miaka 3 mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kuna mwanangu mmoja Sasa hivi namtafuta
Yule legend siku zake za kwenda shule zilikuwa zinahesabika.
Likizo za wiki 2 akirudi yeye anapiga mwezi.
Likizo ya mwezi akirudi yeye anapiga mwezi 1 na wiki 2 au 3
Hapo bado hajarudi home MGONJWA.
huyo kama mwanangu kabisa yaan
 
Naam, ni muda wakuvuna walichopanda.. kipindi hiki ndio wazazi huwaita majina ya wanyama watoto ikiwa hawajajaaliwa kufanya vizuri.. ina nirudisha nyumba 2014, ingawa nilifaulu vizuri ila sikuwa na furah maana jamaa zangu wengi mambo hayakuwa mazuri, mafikio yana raha ikiwa mtafanikiwa wengi
Hili jambo lilikatiza ushikaji na wana wengi sana anyway mitihani na life ni vitu viwili tofauti
 
Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
Sijui kwa serikali ila naona combination ya HGK na HGL vimekaa sawa
 
Back
Top Bottom