DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hii ndo shule ya kupeleka mtoto, sijajua Kama wana primary piaWatoto wa st. Francis Hongereni maana nimeona mtu wa mwisho ana one ya 9, Hakika wamejitahidi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo shule ya kupeleka mtoto, sijajua Kama wana primary piaWatoto wa st. Francis Hongereni maana nimeona mtu wa mwisho ana one ya 9, Hakika wamejitahidi mno
Hii ndo shule ya kupeleka mtoto, sijajua Kama wana primary pia
Sidhan Kama Ni sahii,Muda wowote kuanzia sasa matokeo tajwa hapo juu yatawekwa hewani....
Primary wanayo lakini kama sikosei mwisho standard 3 mpaka sasa na walikua hawapokei wanafunzi ambao hawajaanzia nursery shuleni kwao sijajua kwa sasa kama wamebadili mfumo..Hii ndo shule ya kupeleka mtoto, sijajua Kama wana primary pia
Nursery Bei ganPrimary wanayo lakini kama sikosei mwisho standard 3 mpaka sasa na walikua hawapokei wanafunzi ambao hawajaanzia nursery shuleni kwao sijajua kwa sasa kama wamebadili mfumo..
Ni ya kwanza kitaifaSasa kwanini haijawa ya kwanza kitaifa[emoji6]
huyo kama mwanangu kabisa yaan[emoji16][emoji16][emoji16] kuna mwanangu mmoja Sasa hivi namtafuta
Yule legend siku zake za kwenda shule zilikuwa zinahesabika.
Likizo za wiki 2 akirudi yeye anapiga mwezi.
Likizo ya mwezi akirudi yeye anapiga mwezi 1 na wiki 2 au 3
Hapo bado hajarudi home MGONJWA.
Najua ni makusud tuOya mimi ninamiliki mkunyenye.
Ni Mr.
hii mbona inagoma kwangu mkuu
Hili jambo lilikatiza ushikaji na wana wengi sana anyway mitihani na life ni vitu viwili tofautiNaam, ni muda wakuvuna walichopanda.. kipindi hiki ndio wazazi huwaita majina ya wanyama watoto ikiwa hawajajaaliwa kufanya vizuri.. ina nirudisha nyumba 2014, ingawa nilifaulu vizuri ila sikuwa na furah maana jamaa zangu wengi mambo hayakuwa mazuri, mafikio yana raha ikiwa mtafanikiwa wengi
Sijui kwa serikali ila naona combination ya HGK na HGL vimekaa sawaDogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
HKL inaweza ikamhusu atachaguliwa huyuSijui kwa serikali ila naona combination ya HGK na HGL vimekaa sawa
Atachaguliwa tuHKL inaweza ikamhusu atachaguliwa huyu
Advance Cannosa so wazuriMkuu
Naleta wangu hapo ndo kumaliza st Francis Mbeya
Sipendi kabisa aende HKL, ikitokea amechaguliwa hizo itakuwa Jambo la kheri..Sijui kwa serikali ila naona combination ya HGK na HGL vimekaa sawa