Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji2956][emoji2956][emoji1787]Huyu mwamba apewe maua yake[emoji253][emoji257][emoji1651][emoji255][emoji259][emoji254][emoji267][emoji268][emoji271][emoji263][emoji266][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitaalamu sana hili dongo limekaa😃😃Watu wa Dar mnajua mambo mengi ya wasanii
Umeanza ujinga wako sasa [emoji1787][emoji1787]Hivi wanawake mnawajua ninyi? nasikia huyu ni mhongaji mzuri sana na ukimwambia una mimba yake analea na kuunza mtoto. Hebu kawapimeni hao watoto!!! tuthibitishe kweli wote wa kwake!!
Kazana wewe shauri zako ....endelea KUKARIRI tu [emoji1787][emoji1787]Duh! Jamaa yupo vizuri.. wengine paka sasa hivi ubao ni bila bila ..
Mtoto hana faida. Nakushangaa unapohusianisha watoto na faida. Haya ni mawazo ya kindezi na kimaskini sana .kwani mmoja ana faida gani
Hiyo sheria ikiwepo....huko mbeleni itashindwa kutekelezeka....huwezi kucheza na "nature"....Ya China pale Beijing imefutwa siku za karibuni.....[emoji1787]Kwani anataka kujaza Dunia peke yake?
Iwepo sheria ya kulipa Kodi kwa watu wanaozaa sana ili kuleta uwioano WA dependence ratio.
Akili zipi ?!!!Una akili sana wewe
Alafu ubaya hapa naona Me wengi ndio wanalala mika kuhusu wingi wa watoto....[emoji23]
Hivi kwanza, mtu akisema watoto wengi ni kuanzia wangapi...??[emoji849]
Mkuu suala la uhai akili za watoto liko mikononi mwa sir God. Wapo waliokuwa na kundi la watoto uzeeni wanateseka usipime. Watoto wapo wote wapo lkn nobody cares.Care,kwamba wote hawawezi kuwa fyatu au kufa
Kwa kutumia kipimo gani??Wanne
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Faida ipi?
Umemaliza [emoji7][emoji7]Kama hauwezi kulea wewe, usitupangie na sisi...[emoji2955]
[emoji7]Mimi ninao 8 mkuu, kikubwa wetafuta tu hela na hayo mengine hautauona ugumu wake.
[emoji1787]Care,kwamba wote hawawezi kuwa fyatu au kufa
Unaweza kuwa na mke mmoja na akukumbakikizia watoto.....[emoji1787]wake wanne, anawamudu wote sexually? isije ikawa watoto wengine amebambikiziwa tu
LGBT hao [emoji1787]Alafu ubaya hapa naona Me wengi ndio wanalala mika kuhusu wingi wa watoto....[emoji23]
Hivi kwanza, mtu akisema watoto wengi ni kuanzia wangapi...??[emoji849]