Ipo inaitwa St jude, ipo chini ya wazungu elimu bure mpaka chuo kikuu mzazi hanunui hata pencil.Angeanzisha mswahili angefuatiliwa hela katoa wapi.
Hukohuko Arusha Kuna shule iliyokua inatoa elimu kwa vijana wasio na uwezo wa kulipa ada, matokeo yake walipata bill ya TRA ya kufa mtu. Hivi Ile shule ilishafunguliwa?
Acha mawazo potofu, kwako unaona haiwezekani lakini wengine wameweza.Hivi hiyo ngozi unaiangalia kwenye tv au huwa inawafuatilia in deep?..
Anakupenda kwa kiasi gani mpaka akulelee wewe na mwanao kwa maziwa ya kiwandani huku mkeo anasomeshwa ufundi na kulipwa nyumba plus mshahara every end of the month?.
Sio wote mkuu.Wahindi waarabu wanasaidiana wao kwa wao
Ova
Roho mbaya kama KayafaHawajui ngozi nyeusi huyo watajazana wanawake wote hapo kwake walioolewa kwa kisingizio cha singo maza..........sababu moja tu ya ugumu wa maisha huku mtaani
Akili za Kayafa,Prof Majalala na Chakubanga hizi.Kwa nje anatoa misaada. Kwa ndani ana mambo yake. Mzungu hapotezi muda wala mali bila faida. Ana jambo lake katika nchi hii.
Zile zilikuwa roho ya korosho ya katili Kayafa,alitaka ile shule iwe Chato.Angeanzisha mswahili angefuatiliwa hela katoa wapi.
Hukohuko Arusha Kuna shule iliyokua inatoa elimu kwa vijana wasio na uwezo wa kulipa ada, matokeo yake walipata bill ya TRA ya kufa mtu. Hivi Ile shule ilishafunguliwa?
Brainwashed by KayafaAnayopata kwa mwaka toa matumizi yake ya gelesha kwa kina mama utapata jibu
Wewe ulitaka asifaidike sio? Au ulitaka awe katika hali gani ili uridhike,? Wabongo Muwe na shukraniTujiulize, yeye na wenzake wanafaidika nini hasa? Manake tusifurahie hii misaada in the name of misaada. In the end kuna namna anafaidika tu. Hakuna mtu mweupe mjinga mjinga.
Wazungu nao Ni binadamu.Tujiulize, yeye na wenzake wanafaidika nini hasa? Manake tusifurahie hii misaada in the name of misaada. In the end kuna namna anafaidika tu. Hakuna mtu mweupe mjinga mjinga.
Hujasema ni benefits zipi anapata ili ku balance story yako!Wewe ulitaka asifaidike sio? Au ulitaka awe katika hali gani ili uridhike,? Wabongo Muwe na shukrani
Mtu anajitolea kutoa misaada ambapo hata serikali yetu imeshindwa kufanya lakini bado watu wanauliza huyo muhusika anafaidika na nini hapoHaijalishi anapata nini huyo mzungu, ila huduma anayoitoa kwa jamii yetu inatosha kumpongeza na kumtakia heri.
Tumeona baadhi ya watu wetu wakiwemo wafanya biashara wakubwa, viongozi wa serikali, viongozi wa dini hawajishughuliahi na wahitaji waliopo kwenye jamii yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bushmamy.Hapati benefits zozote zile, yeye huenda marekani kufanya harambee na kuleta misaada kwa makontena pamoja na pesa.
Kwahiyo kujenga nyumba za kupangisha, kununua shamba kuweka mifugo sio uwekezaji?Mwizi Hana akili ya kuwekeza. Unakuta waziri Fulani amepiga mabilioni sana sana atakachowekeza Ni kujenga nyumba za kupangisha Mbweni na Mbezi beach, kununua shamba Kibaha misugusugu na kuweka ng'ombe na mbuzi. Zingine kumnunulia wife harrier, nyumba ndogo Nissan dualis. Hawana akili ya kuwekeza hata kiwanda Cha maji.
Bure kabisa
Unatoa ajira ngapi?Kwahiyo kujenga nyumba za kupangisha, kununua shamba kuweka mifugo sio uwekezaji?