Heee! hii mpya, unamkomoaje mtu aliyekufa?Nehemia ni aina ya watendaji wapendao sifa za kijinga na mshirika wa mafisadi na ndiyo maana JPM alimla kichwa.
Vilevile, huyo ni mmoja wa waliorejeshwa na Samia ili kumkomoa marehemu JPM 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee! hii mpya, unamkomoaje mtu aliyekufa?Nehemia ni aina ya watendaji wapendao sifa za kijinga na mshirika wa mafisadi na ndiyo maana JPM alimla kichwa.
Vilevile, huyo ni mmoja wa waliorejeshwa na Samia ili kumkomoa marehemu JPM 😄
Fudia ndo nini wee ma.layaWale wanyonge wa kimara waliovunjiwa majumba mliwalipa.fudia? Pumbavu
Mleta mada hauko sahihi, nahisi una maslahi binafsi.Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.
Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.
Kama hela kila kitu basi sasa hivi kusingekuwa na nyumba za ovyo Mikocheni, Msasani, Tetegeta, Kariakoo, Ilala na prime areas zingine za bongo.
Kila mwenye nyumba tokea miaka ya 80 isiyoendana na nyumba zinazojengwa leo maeneo hayo sasa hivi ingekuwa keshahama kitambo kwa kuuza.
Uwezi kunyanyasa watu kwa sababu eneo ni prime na serikali ina miliki nyumba kwa hivyo vunja tu.
Juzi raisi Samia katoka kwenye msiba uingereza eneo alilopanda basi maeneo ya ‘Marble Arch’ mbele kidogo tu ‘Oxford Street’ sidhani kama kuna prime area duniani kama hapo (labda Tokyo) na kuna council flats zilijengwa zamani. Safari yake ya mile mbili kufika msibani mpaka Westminster njia nzima ina sehemu kuna nyumba za serikali in short ‘west end’ yote ina maeneo yana council flats ambazo ingelikuwa ni matakwa ya matajiri tu wangeshanunua zote na kuzivunja. Lakini hata kwa nchi za mabeberu it’s immoral and inhumane uwezi fanya ivyo.
Na ndio sera inayofanya watu matajiri watafute maeneo mengine ya kuendeleza na kutengeneza future prime areas.
Ni hivi huyu Nehemia hana uwezo na nafasi anayopewa hapo NHC alianza Tibaijuka kumfunga speed governor alizuia huu mpango alipokuwa waziri, Lukuvi nae akamfunga tena speed governor kwenye kuwapandishia kodi wapangaji kwa asilimia 200% na kumtaka aache tena kupandisha kodi ovyo (hizo zilikuwa zama za J.K) na Magufuli ndio akamtibua kabisa kwa kutaka kuendelea serikali kumpatia dhamana ya mikopo ambayo inaishia kuhudumiwa na walipa kodi badala ya miradi anayojenga.
Huyo mtu hana uwezo wa kufanya miradi ya kibiashara inayohitaji mbinu anataka vitu rahisi tu kutekelezeka.
Hiyo sera inaenda waumiza watu kwa sababu ambazo hazina msingi wa kibiashara ya shirika la umma ata kidogo.
Sasa kama wajua yote haya na sheria zipo si uende mahakamani kama unahisi haki yako itadhulikiwa?Tatizo lako wewe unadhani mikataba ya NHC au public housing in general duniani ni kama ile inayoandikwa na wanasheria wa barabarani kwenye hivi vyumba tunavyopanga Magomeni.
Kwa taarifa tu kuna nyumba ata za NHC unaweza fanya extension kwa kibali chao (vinginevyo bila ya kibali wanavunja au kukutoa kwa kukiuka mkataba) na watu wengi tu wamefanya extensions.
Halafu mimi wala sizungumzi compensations hizo ni makeover tu za ndani kama kitchen updates and so forth. Hayo mambo unalipwa popote duniani unapoamishwa in addition to other costs kama za extension, amount of time uliyokaa kwenye nyumba and so forth.
Halafu kabla ya kumuamisha mtu unatakiwa kumpatia substitute property (hii sidhani) kama ipo kwenye mikataba ya NHC but that is customary kwenye public housing; uwezi kutoa watu tu kiholela that is inhumane.
Wewe ujawahi kupanga public housing popote duniani so stop kuongelea vitu kwa kuunga unga tu.
Umeelewa ndio maana unakwepa kujibu.Fudia ndo nini wee ma.laya
Pumbav...wenye pesa wanaenda kuanzisha miji mipya ambayo ni ya kisasa......ndo maana ukienda katikati ya jiji la London utakuta majengo ya kale yenye miaka zaidi ya miatano, makazi ya kisasa yanajengwa pembezoniWewe kama ni mnyonge tafuta maeneo ya wanyonge sio ukae eneo ambalo linaweza kuwa productive kwa kisingizio cha unyonge..
Ujinga wa dizaini hii haukubaliki.kwenye Dunia ya Sasa.
CCM ni chama cha kikatili sana, tushaandika sana humu lakini tumeishia kuitwa wachochezi.
NHC sio ya wenye pesa ni shirika la umma la kuleta faida sio kutumiwa vibaya na nyie mnaojiita wanyonge kufilisi shirika..Pumbav...wenye pesa wanaenda kuanzisha miji mipya ambayo ni ya kisasa......ndo maana ukienda katikati ya jiji la London utakuta majengo ya kale yenye miaka zaidi ya miatano, makazi ya kisasa yanajengwa pembezoni
Hizo ni dili za upigaji, watu wanataka kuvuta rushwa kubwakubwa kwa kuwakandamiza wanyonge. Hao matajiri wakatafute maeneo pembezoni wajenge hizo prime areas, siyo kukandamiza wanyonge.Ndipo tulipofikia hapo yaani hawa watu, hawana utu wala huruma.
Ni tamaa kwenda mbele
Nyie ndo wale mlisema hamjengi mtakaa City Centre ama?Sio kwamba maeneo ya wazi, hayo ni machache na ni yao NHC.
Ila wana mpango wa kuvunja blocks na kutoa wapangaji na hawana hela ya wao kuendeleza. Baada ya hapo wanatafuta matajiri wajenge wao kama wabia tu.
Sasa kwanini utoe watu in the first place.
Zinataka kutofautishwa sehemu za mabwana na watwana !! Mchechu from North ??!!
Wananyanyasika kivipi na ni wapangaji tu?Mkereketwa wa unyanyasaji
Kwa hiyo hawana haki kisa ni wapangaji, kwani hilo shirika ni mali binafsi ya mchechu.Wananyanyasika kivipi na ni wapangaji tu?
Au mi ndo sielewi
Mikataba inasemaje?Kwa hiyo hawana haki kisa ni wapangaji, kwani hilo shirika ni mali binafsi ya mchechu.
Mikataba inasemaje?
Kama mna haki nendeni mahakamani..ni issue ndogo tu mbona
Sasa km unataka kukwepa mikataba unakua unaukataa uhalisia na haya ni malalamiko baseless kabisaHapo hakuna cha mikataba inasemaje, shirika linakusanya kodi kwa nini lisikarabati na kujenga nyumba badala ya kutaka kuwapa matajiri hizo nyumba kwa kisingizio cha kuingia ubia, yanajengwa mazingira ya upigaji na rushwa nono nono.