Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Hahahahahaha yani safu ya wapiga dili imerudi mchezoni kwa aina yake 😅 hapo Makamba anaenda kupiga hela ndefu sana ndani ya muda mchache mno!Bomu linalokwenda kutengenezwa pale TANESCO Mungu ndiyo anajua
Hawa watu huwa wana circulate tu kama vile hakuna watu wengine wenye akili zaidi yao nchini! Leo NHC mara katumbuliwa kesho yupo NSSF mara kachomolewa keshokutwa yuko TPA mara kang’olewa anakuja kuibukia TANESCO! Je, hawa watu ni miungu ama? Don’t we have any new heads za management humu nchini ni lazma wawe hao hao akina Dau, Mchechu?