ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hili litakuwa ni jizi nufaika angalia miradi iliyoachwa na Magu.....ww falaMagufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili litakuwa ni jizi nufaika angalia miradi iliyoachwa na Magu.....ww falaMagufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the best
Ww nawe acha umbumbumbu watu wanahoji hakuna watu wengine majina mapya wasomi wapya wanaoweza kufanya hizo kazi!!!?Ndo hapo sasa! Yani mwendazake awe na ushahidi dhidi yako alafu akuache na ufedhuli wake ule??
Hawa Chato gang wamejaa chuki tu dhidi ya Mama Samia. Hawana lolote
Hao labda walisomea hizo nafasi! Inawezekana Wana vyeti, Kama vile watu wanavyosomea uwaziri au ukuu wa wilaya na mkoa.Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Mnafiki huyo jamaaAiseee !!!
Vichwa viliwekwa kando na mzee mpigaji kwa wivu wa kijinga
Hizo syo nafasi za utumishi wa UMMAHivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Naona unazunguka tu!Mimi sio wao
Watu tupo sawa lakini hatupo sawasawa
Kitu kinacho fanywa na mama samia kinaitwa MAFISADI LEGACY wanakifanya kwa kuofia magufuli legacy hivyo wanarudisha watu wote wa ovyo walio timuliwa au kuwekwa jela na magufuli ili waweze kuua nguvu zozote za uzarendo maana huyu mama ana kesi chafu sana ya /17
Hivi Samia alikuwa msaidizi wa Magufuli kweli ?Kukomoana, Mchechu alifukuzwa na Jiwe, sasa wewe unamruddisha.... naishia hapa
Washacheki fursa zaoMchechu, Mafuru, Mramba, n.k msoga line.
Huu si uteuzi wa jamaa. Kile kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege ni cha...?
Fungeni mikanda,ndo tumeanza kuingia kwenye turbulences, mpaka Dec 26, tutakuwa tumeshazoea.
Tutarudishwa kwenye Richmond,dowans ns matakataka mengineBomu linalokwenda kutengenezwa pale TANESCO Mungu ndiyo anajua
Alikuwaga yuko kwenye system enzi za mkwere Kama sio waziri basi mkuu wa mkoahuyu ndiye nani na alikuwa nani?
Hawalipiwi kila mwezi ila ulaji upo kwenye tenda za shirika, ni zaidi ya mshahara.Hivi wajumbe wa bodi wanalipwa mshahara kila mwezi au hua inakuaje?
Hakika ....
Mchechu na Mafuru ni vijana wazalendo wenye weledi mno....
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI
Kuna falsafa Fulani ya msoga king huwa naikubali sana "if necessary use them,once the mission is finished dump them and don't look backward ,just enjoy your triumph"Nchi ipo kwenye ‘catch 22’
Mama amenogewa na nafasi ya uraisi ila hana uwezo wa kuendesha nchi wala awezi mudu mikiki ya kubakia come 2025.
JK ana mbinu za kupindua meza ndani ya CCM hii ni situation mpya no one knows what to do.
JK anafahamu mbinu za kukamata madaraka which is good kumlinda mama asitishiwe nyau.
Tatizo lipo wapi kwa sababu mama hana dira JK anaamini deep down he was a good president and his measures were necessary for the nation prosperity.
So with good intentions JK anaamini mama atatimiza his unfinished business.
Yaani aoni ubaya wake, wakati JK finances zinampiga chenga sana. Yeye akiona miradi imeanzishwa hayo
kwake ni mafanikio bila ya kuelewa long term debt commitment za nchi na kama hiyo miradi imefanyiwa appropriate appraisal; ndio kama anavyolilia Bagamoyo port na gas Mtwara.
Sasa kwenye kichwa chake watu kama Nehemia walikuwa na akili sana akiona majengo waliojenga as far as JK is concerned with his limited finance understandings that is progress.
Ngoja sasa aende ofisi ya DMO wizara ya fedha wamuelezee gharama ya hiyo miradi na yeye kuiwekea guarantee wakati aijilipi kwa walipa kodi na madhara yake kwa national debt (we do know kwenye deni la taifa almost 10 trillioni ni deni la TANESCO na NHC).
Bado ujagusia matumizi mabaya ya cash cow za NHS Nehemia alivyokuwa anazitumia vibaya kuficha his bad investment kwenye cash flow kwa kuwatupia kodi za nyongeza wapangaji kwa madeni wasiohusika nayo ili kuongeza mapato ya kuhimili madeni ya bad investment alizofanya.
Hizi ndio sababu wengine tulionya mama kumtumia mtu kama JK anajichimbia shimo; kwa sababu huyo mtu aoni makosa yake.
JK naively believes he was the best president; na afanyi hivyo kwa nia mbaya it’s just psychology he actually believes he was doing the right thing.
Kuna watu inabidi wamrudishe huyu mtu kwenye dunia ya ukweli. He wasn’t a good president and he made more bad decisions than good ones; and it’s time he should step away for good. Huyu mtu ni tatizo kwa Tanzania.
He was like them in terms of upigajiVasco Da Gama Era inarudi. Hao Jamaa ni Sensational tu, walikuwepo awamu ya nne nadhani, wali_deliver Nini? Hakuna kitu. February Mswahili Swahili tu kama babaake, line ya kina Vasco Da Gama inarudi.
Nilimuelewa sana JOHN POMBE MAGUFULI, The guy was real, down to earth.
Nadhani ifike mahali Watanzania tuache roho mbaya na husda, Hawa watu wana business acumen na rekodi zao kwenye kumanage mashirika hazitii shaka. Km tunataka TANESCO iwe successful mnataka nani ateuliwe?
Sielewi sijui tumelogwa mtu akiwa kiongozi tunataka awe hana mali au chochote akimiliki mali basi mwizi mchechu kafanya kazi ngapi kawa kwenye bodi ngapi mpaka awe maskini?
Na mtu akiwa maskini tunasema nakumbuka nikiwa mwaka wa pili Chuo nilifanya field Ifakara tukapita pahala tukakuta mzee mmoja anapasia kuni kwa shoka, nikaambiwa unamuona yule alikua OCD, sijui pesa yake kafanyia nini.
Ifike pahala tuchukue watu weledi watuongozee mashirika yetu ufanisi upatikane.
RAI: Unapoteua watu km hawa tunategemea shirika liendeeshwe kibiashara sio tunaatumia milioni mia saba kupeleka umeme pahala ambapo kuna wateja sita ili tupate mtaji wa kisiasa bila kuangalia km hiyo investment ni nzuri kwa shirika au la though hii kwa sasa REA itakuwa imepunguza.
Tuwaache wafanye kazi tuache majungu na myopic thinking ili taifa lisone mbele.
Kampuni za mfukoni soon zitakujaNdio maana ulianzishwa wimbo wa kuuza hisa 20% ipo kwenye DSE hawa watatu ni wauminj wa ahyo mambo Mchechu, Mafuru na Nanyaro hii ni close circle ya January ni wasomi wazuri lakini utawala wa JPM mchechu na mafuru waliondolewa Nanyaro alijipunguza mwenyewe toka EPZA.
Hatutapenda kusikia kampuni imetoka Toronto, marekani inapewa tender ya kuuza umeme yaleyale ya IPTL yatarudi.
Tuko watu milioni karibu 62 kweli majina yanarudi yale yale kwenye nafasi hivi ni nani aliyeturoga. Ifike wakati watawala waone aibu ku recycle watu walewale umaskini hauwezi kuisha kwa style hii. Ndio maana JPM watu walimpenda kwa ku break the circle na kuchukua watu wapya kabisa. Kuna mtu hapo kila real estate investment unasikia anamiliki huko high end neighbourhoods bado tena anateuliwa kuwa mjumbe wa bodi wengine washakua mabalozi washapiga hela ndefu kwenye law firm zao bado tu mnawarudisha. Hivi ni vioja.