Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Majungu tu.Mbona hakushitakiwa mahakamani kwa ufisadi?
Ndo hapo sasa! Yani mwendazake awe na ushahidi dhidi yako alafu akuache na ufedhuli wake ule??

Hawa Chato gang wamejaa chuki tu dhidi ya Mama Samia. Hawana lolote
 
Mkuu kilatha ongeza sauti tumekuelewa sana, je hapo waziri mwenye dhamana ya ardhi ni kwanini aliachwa tuu haya yote hakuyajua. Hii fact checking yako inakumbushia Ceo wa Precision air mmoja alitolewa Kenya alikuwa anapika data kuonesha shirika linaenda vizuri kumbe uhalisia haukuwa mzuri sana. Hi ni tabia ya ma ceo kuwa na ujanja ujanja mwingi na kuwaweka sawa mpaka wabunge walikuwa wakionge kuhusu NHC ni kusifia tuu.

Lakini story yako ya NHc ni sawa na reality ya ATCL. Madeni makubwa kuliko faida. Na wasipokuwa makini Tanesco litazidi kuelekea upande huohuo kwa team hii iliochaguliwa na decision za kisiasa.
Mkuu Nehemia alikuwa na backup ya JK hila alianzishiwa mziki na Tibaijuka kuhusu kuongeza kodi.

Alikuwa akikutana na mziki huo anazindua mradi anamualika JK anamuonyesha migorofa aliyojenga. JK anasifia Dar imependeza asikii wala aambiwi kwa huyo mtu.

Sasa kama wewe waziri utafanya nini wakati boss anasifia?

Likaja sakata la escrow likaindoka na Tibaijuka, ardhi akaingia Lukuvi kitu cha kwanza alipiga stop rent hike na kukagua miradi yao.

Jamaa wazushi hao wakaleta hadithi za miradi yao ya Anna na Sifu kuuza nyumba zote, sijui wameingia mkataba na mabenki gani kuuza mortage za 18% plus. Na watu humu kumsifia jamaa ana miakili wakati common sense says ni hadithi tupu.

Kwa ufupi you understand how the government used to work kipindi cha JK. Ila mawaziri walijaribu sana, hasa Tibaijuka na hata Lukuvi.

Alipoingia Magufuli kwakuwa yeye ni mtu wa kufuatilia baada ya kuona hayo madeni yenyewe serikali ndio inalipa sasa huyo mtu ana faida gani ndio maana bila ya kujali miradi iliyo njiani akamtimua.

Huko ATCL upuuzi unaondelea ndio usiseme kama ilivyo kwa JK na NHC, ATCL na Magufuli ndio ovyo kweli kweli.
 
Mkuu Nehemia alikuwa na backup ya JK hila alianzishiwa mziki na Tibaijuka kuhusu kuongeza kodi.

Alikuwa akikutana na mziki huo anazindua mradi anamualika JK anamuonyesha migorofa aliyojenga. JK anasifia Dar imependeza asikii wala aambiwi kwa huyo mtu.

Sasa kama wewe waziri utafanya nini wakati boss anasifia?

Likaja sakata la escrow likaindoka na Tibaijuka, ardhi akaingia Lukuvi kitu cha kwanza alipiga stop rent hike na kukagua miradi yao.

Jamaa wazushi hao wakaleta hadithi za miradi yao ya Anna na Sifu kuuza nyumba zote, sijui wameingia mkataba na mabenki gani kuuza mortage za 18% plus. Na watu humu kumsifia jamaa ana miakili wakati common sense says ni hadithi tupu.

Kwa ufupi you understand how the government used to work kipindi cha Magufuli. Ila mawaziri walijaribu hasa Tibaijuka na hata Lukuvi.

Alipoingia Magufuli kwakuwa yeye ni mtu wa kufuatilia baada ya kuona hayo madeni yenyewe serikali ndio inalipa sasa ana faida gani ndio maana akamtimua bila ya kujali miradi iliyo njiani.

Huko ATCL upuuzi unaondelea ndio usiseme kama ilivyo kwa JK na NHC, ATCL na Magufuli ndio ovyo kweli kweli.
Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!

Kuna mtu aliyeifufua NHC angalau ikaanza kuonekana Kama Nehemia??

Nehemia alikuwa CBA BANK na kipindi chake ndo ilifanya vizuri sana mpaka serikali wakaamua kumchukua! Ameondoka CBA Leo unaisikia tena kama kipindi chake?

Magufuli alikuwa anaongozwa na chuki dhidi ya watu ilo linajulikana! Hakukuwa na Logic yeyote kumtoa Nehemia.

Sehemu zote alizotia mkono zimekufa! Leo hii UDART Mwendokasi imekufa Kwa sababu ya yeye Magufuli kuingilia, aliingilia Sukari ikapanda bei Hadi Leo!
 
Magufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the best
Be serious
Acha kujiaibisha na chuki zako kwa kikwete! Na Ndo mana mnazidi kuonekana washamba! Kazi kudharau tu wanawake! Mnamdharau Samia kana kwamba yeye hana akili au hawezi kuongoza wajinga nyie.

Samia anachagua timu yake yeye anayoona inafaa kwa utashi wake na ushauri anaopewa na vyombo!

Huyo Magufuli unayemsifu hapa ndo ameiua National Housing. Tangu aingie miradi yote ya kawe, Morroco na kugamboni ilisimama na kufa kisa chuki zake na kijana mchechu!

Yeye alipenda kujenga na kupeleka miradi chato tena bila bajeti! Hela alikuwa anataka kuchukua kwenye mashirika na Ndo mana hakuendana na watu wenye misimamo na akili Kama Prof Assad, Nehemia Mchechu na Mafuru!
Tumia data, ata kama uwezi pata latest financial statement za NHC. Their three old financial statement zinapatikana kwenye website yao.

Chuki zangu kwa JK sitojibu labda kama mgeni JF, kulikuwa akukaliki humu ukimnanga JK alipokuwa raisi.

Kila zama na nyakati zake, apumzike tu; nchi yetu ni maskini inahitaji mtu sahihi.

Ata mama anaweza akirudi kwenye mstari.
 
Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!

Kuna mtu aliyeifufua NHC angalau ikaanza kuonekana Kama Nehemia??

Nehemia alikuwa CBA BANK na kipindi chake ndo ilifanya vizuri sana mpaka serikali wakaamua kumchukua! Ameondoka CBA Leo unaisikia tena kama kipindi chake?

Magufuli alikuwa anaongozwa na chuki dhidi ya watu ilo linajulikana! Hakukuwa na Logic yeyote kumtoa Nehemia.

Sehemu zote alizotia mkono zimekufa! Leo hii UDART Mwendokasi imekufa Kwa sababu ya yeye Magufuli kuingilia, aliingilia Sukari ikapanda bei Hadi Leo!
Pamoja na uozo wa Jiwe, ila mchechu alikuwa hafai kuendelea hapo NHC.
Mchechu alitumia kampuni zake kufanya miradi ya NHC, uzuri thread za miaka hiyo 2011-2014 zipo humu.
Kusema mchechu aliikuta NHC ikiwa na Hali mbaya huu ni uongo kabisa.
Alichofanya mchechu NHC ni sawa ana alichofanya jiwe ATCL kununua midege mipya huku mzigo mkubwa wa madeni ulilielemea shirika.
NHC ya mchechu ina madeni makubwa hadi Leo na hayajukikani yatalipika vipi.
 
Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!

Kuna mtu aliyeifufua NHC angalau ikaanza kuonekana Kama Nehemia??

Nehemia alikuwa CBA BANK na kipindi chake ndo ilifanya vizuri sana mpaka serikali wakaamua kumchukua! Ameondoka CBA Leo unaisikia tena kama kipindi chake?

Magufuli alikuwa anaongozwa na chuki dhidi ya watu ilo linajulikana! Hakukuwa na Logic yeyote kumtoa Nehemia.

Sehemu zote alizotia mkono zimekufa! Leo hii UDART Mwendokasi imekufa Kwa sababu ya yeye Magufuli kuingilia, aliingilia Sukari ikapanda bei Hadi Leo!
Si deal na uropokaji nimekuwekea latest income statement ya shirika available for kuonyesha what is their operation status ambayo ni uozo.

Sasa kama una hoja ya kibiashara lete data tuziongelee sio porojo za kitoto na mambo ya kufikirika kichwani kwako.
 
Be serious

Tumia data, ata kama uwezi pata latest financial statement za NHC. Their three old financial statement zinapatikana kwenye website yao.

Chuki zangu kwa JK sitojibu labda kama mgeni JF, kulikuwa akukaliki humu ukimnanga JK alipokuwa raisi.

Kila zama na nyakati zake, apumzike tu; nchi yetu ni maskini inahitaji mtu sahihi.

Ata mama anaweza akirudi kwenye mstari.
Hizo financial statements zina nini cha ajabu?

Nimekuuliza Nehemia ameikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni kiasi gani?

Unatufanya sie wajinga sio? Sote tunajua hali ya NHC kipindi Nehemia anaingia ilikuwaje na sote tunajua yeye ndo at least alianza kufanya miradi mipya.

Chuki zenu za kutaka kuweka watu wenu National Housing mkamtengenezea zengwe na kumuondoa Ila hamkuwahi kupata ushahidi dhidi yake kumpeleka mahakamani!

Hakuna kipindi uchumi wa nchi hii ulikwenda vizuri Kama kipindi cha JK. Na ndo mana hata sie kuingia katika uchumi wa kati kipindi cha Magufuli ilitokana na strong performance ya uchumi kipindi cha JK.

Muacheni JK apumzike, chuki zenu dhidi yake hazitawafikisha popote!

Samia ndo Rais, vyombo ni vyake na ana uwezo ya kufanya vetting na kupata ukweli wa mtu yeyote nchi hii. Anafanya maamuzi Kwa utashi wake na Kama anavyoshauriwa na vyombo vyake!

Kumsingizia JK kuendesha serikali ya Samia ni wivu na chuki zenu dhidi ya Samia na JK ndo zinawasababisha mfanye hayo!
 
Si deal na uropokaji nimekuwekea latest income statement ya shirika available for kuonyesha what is their operation status ambayo ni uozo.

Sasa kama una hoja ya kibiashara lete data tuziongelee sio porojo za kitoto na mambo ya kufikirika kichwani kwako.
Porojo gani? Wewe unayemuhusisha JK kumteulia Samia watu umeweka ushahidi humu?? Au nazo ni porojo???
 
Hizo financial statements zina nini cha ajabu?

Nimekuuliza Nehemia ameikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni kiasi gani?

Unatufanya sie wajinga sio? Sote tunajua hali ya NHC kipindi Nehemia anaingia ilikuwaje na sote tunajua yeye ndo at least alianza kufanya miradi mipya.

Chuki zenu za kutaka kuweka watu wenu National Housing mkamtengenezea zengwe na kumuondoa Ila hamkuwahi kupata ushahidi dhidi yake kumpeleka mahakamani!

Hakuna kipindi uchumi wa nchi hii ulikwenda vizuri Kama kipindi cha JK. Na ndo mana hata sie kuingia katika uchumi wa kati kipindi cha Magufuli ilitokana na strong performance ya uchumi kipindi cha JK.

Muacheni JK apumzike, chuki zenu dhidi yake hazitawafikisha popote!

Samia ndo Rais, vyombo ni vyake na ana uwezo ya kufanya vetting na kupata ukweli wa mtu yeyote nchi hii. Anafanya maamuzi Kwa utashi wake na Kama anavyoshauriwa na vyombo vyake!

Kumsingizia JK kuendesha serikali ya Samia ni wivu na chuki zenu dhidi ya Samia na JK ndo zinawasababisha mfanye hayo!
Ila we ni mnafki sana, thread yako hii kipindi hiko.
 
Ila we ni mnafki sana, thread yako hii kipindi hiko.
Fuatilia kwa nini niliamua kutomuunga mkono badae?

Nilitofautiana naye kwenye maeneo mengi sana na nilianza kumpinga akiwa bado madarakani
 
Fuatilia kwa nini niliamua kutomuunga mkono badae?

Nilitofautiana naye kwenye maeneo mengi sana na nilianza kumpinga akiwa bado madarakani
Nimesoma baadhi ya thread zako miaka ya nyuma, na nimegundua
  • ulikuwa CCM
  • ukamsupport jiwe
  • baadae pengine mambo ya maslahi huko CCM yalikupitia kando, ukahama CCM
  • uchaguzi wa 2020 ukawa chadema, kwa kumnadi Lissu usiku na mchana
  • ghafla umerudi ccm, pengine ukiamini maslahi yako yatakuwa sawa.
Hadi hapa kuna kitu hakipo sawa kwako.
 
Porojo gani? Wewe unayemuhusisha JK kumteulia Samia watu umeweka ushahidi humu?? Au nazo ni porojo???
Ndugu sakata la NHC wenzako tumeanza kutabiri tangia Luhanjo mnyalukolo wa Ikulu alipompendekeza mtu wa kwao.

Ikaja scrutinisation ya NHC plan waliyo wasilisha bungeni (you do know Nehemia aliahidi kujenga nyumba elfu 12 kwa miaka mitano yake ya mwanzo) wengine tukasema ni realistic ila strategic plan yao awatafikia malengo and so forth.

Asubuhi njema nyie watoto wa JF mnafujo kweli. Amini usiamini nilimtabiria huyo mtu exactly how it was gonna end based on his strategic approach

Dont Invest in people if you are a politician, but on ideology; people come and go.

JK needs retirement muda wake umepitwa.
 
Nchi ipo kwenye ‘catch 22’

Mama amenogewa na nafasi ya uraisi ila hana uwezo wa kuendesha nchi wala awezi mudu mikiki ya kubakia come 2025.

JK ana mbinu za kupindua meza ndani ya CCM hii ni situation mpya no one knows what to do.

JK anafahamu mbinu za kukamata madaraka which is good kumlinda mama asitishiwe nyau.

Tatizo lipo wapi kwa sababu mama hana dira JK anaamini deep down he was a good president and his measures were necessary for the nation prosperity.

So with good intentions JK anaamini mama atatimiza his unfinished business.

Yaani aoni ubaya wake, wakati JK finances zinampiga chenga sana. Yeye akiona miradi imeanzishwa hayo
kwake ni mafanikio bila ya kuelewa long term debt commitment za nchi na kama hiyo miradi imefanyiwa appropriate appraisal; ndio kama anavyolilia Bagamoyo port na gas Mtwara.

Sasa kwenye kichwa chake watu kama Nehemia walikuwa na akili sana akiona majengo waliojenga as far as JK is concerned with his limited finance understandings that is progress.

Ngoja sasa aende ofisi ya DMO wizara ya fedha wamuelezee gharama ya hiyo miradi na yeye kuiwekea guarantee wakati aijilipi kwa walipa kodi na madhara yake kwa national debt (we do know kwenye deni la taifa almost 10 trillioni ni deni la TANESCO na NHC).

Bado ujagusia matumizi mabaya ya cash cow za NHS Nehemia alivyokuwa anazitumia vibaya kuficha his bad investment kwenye cash flow kwa kuwatupia kodi za nyongeza wapangaji kwa madeni wasiohusika nayo ili kuongeza mapato ya kuhimili madeni ya bad investment alizofanya.

Hizi ndio sababu wengine tulionya mama kumtumia mtu kama JK anajichimbia shimo; kwa sababu huyo mtu aoni makosa yake.

JK naively believes he was the best president; na afanyi hivyo kwa nia mbaya it’s just psychology he actually believes he was doing the right thing.

Kuna watu inabidi wamrudishe huyu mtu kwenye dunia ya ukweli. He wasn’t a good president and he made more bad decisions than good ones; and it’s time he should step away for good. Huyu mtu ni tatizo kwa Tanzania.
Na akajitahidi kumuondoa Mkapa,Kikwete ni mtu mbaya sana kwa taifa hili
 
Back
Top Bottom