Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka kwa saut japo leo nimelazwa na viatu na mayeleMagufuli lazima ageuke alale kifudifudi huko aliko
Alikuwa balozi wetu nchini Uingereza na wakili wa kampuni fulani maarufu sana...huyu ndiye nani na alikuwa nani?
**Mchechu wamrudishe tu NHC Jamaa alikuwa smart sana na shirika lilinawiri sana kwa kweli,lakini mahahara wake uangaliwe upya.Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
We ni ktk wale waliopigwa chini na mama wa taifa?
Magufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the bestNchi ipo kwenye ‘catch 22’
Mama amenogewa na nafasi ya uraisi ila hana uwezo wa kuendesha nchi wala awezi mudu mikiki ya kubakia come 2025.
JK ana mbinu za kupindua meza ndani ya CCM hii ni situation mpya no one knows what to do.
JK anafahamu mbinu za kukamata madaraka which is good kumlinda mama asitishiwe nyau.
Tatizo lipo wapi kwa sababu mama hana dira JK anaamini deep down he was a good president and his measures were necessary for the nation prosperity.
So with good intentions JK anaamini mama atatimiza his unfinished business.
Yaani aoni ubaya wake, wakati JK finances zinampiga chenga sana. Yeye akiona miradi imeanzishwa hayo
kwake ni mafanikio bila ya kuelewa long term debt commitment za nchi na kama hiyo miradi imefanyiwa appropriate appraisal; ndio kama anavyolilia Bagamoyo port na gas Mtwara.
Sasa kwenye kichwa chake watu kama Nehemia walikuwa na akili sana akiona majengo waliojenga as far as JK is concerned with his limited finance understandings that is progress.
Ngoja sasa aende ofisi ya DMO wizara ya fedha wamuelezee gharama ya hiyo miradi na yeye kuiwekea guarantee wakati aijilipi kwa walipa kodi na madhara yake kwa national debt (we do know kwenye deni la taifa almost 10 trillioni ni deni la TANESCO na NHC).
Bado ujagusia matumizi mabaya ya cash cow za NHS Nehemia alivyokuwa anazitumia vibaya kuficha his bad investment kwenye cash flow kwa kuwatupia kodi za nyongeza wapangaji kwa madeni wasiohusika nayo ili kuongeza mapato ya kuhimili madeni ya bad investment alizofanya.
Hizi ndio sababu wengine tulionya mama kumtumia mtu kama JK anajichimbia shimo; kwa sababu huyo mtu aoni makosa yake.
JK naively believes he was the best president; na afanyi hivyo kwa nia mbaya it’s just psychology he actually believes he was doing the right thing.
Kuna watu inabidi wamrudishe huyu mtu kwenye dunia ya ukweli. He wasn’t a good president and he made more bad decisions than good ones; and it’s time he should step away for good. Huyu mtu ni tatizo kwa Tanzania.
Nehemia alichukua NHC ilikua na mtaji kias gani na madeni kiasi gani na mpaka anadondoka mtaji ulikua kiasi ganiNilikuwa namtetea huyu jamaa, ila kwa hili huyu hafai kabisa. Huyu Nehemia na ufisadi wote!!!!
Mmh katika shirika liliongeza madeni ya serikali basi ni hilo NHC. Tatizo sisi ni wasahaulifu sana, ukirudisha nyuzi za miaka 8 nyuma basi hii comment unaweza kuifuta.**Mchechu wamrudishe tu NHC Jamaa alikuwa smart sana na shirika lilinawiri sana kwa kweli,lakini mahahara wake uangaliwe upya.
Weka hesabu zako vizuri, Deni la taifa ni trillioni 60. Au useme hiyo trillion 70 ni ya wapiMagufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the best
NHC Ina mtaji? Katika shirika linalopaswa kufa la kwanza basi ni Hilo NHC likifuatiwa na Tanesco.Nehemia alichukua NHC ilikua na mtaji kias gani na madeni kiasi gani na mpaka anadondoka mtaji ulikua kiasi gani
Hii ni term ya tatu ya JK.Kamati ya Ufundi ya wana wa Msoga iko kazini!
Ndiye alikuwa anakula fedha za uwakili kwa Tanesco huko nje kwenye makesi yao ya IPTL. Naona amerudishwa shambani.Balozi huyo....
Mzoefu huyoooo
Acha kujiaibisha na chuki zako kwa kikwete! Na Ndo mana mnazidi kuonekana washamba! Kazi kudharau tu wanawake! Mnamdharau Samia kana kwamba yeye hana akili au hawezi kuongoza wajinga nyie.View attachment 1952878
Umeona hilo shirika halina operation profit in the first place.
Sasa jiulize hizo finance costs zinalipwa vipi? Na kilikuwa ivyo for the past 10 years.
Umeshajiuliza hiyo billioni 150 kwa mwaka ambayo awawezi ilipa ingetoa ajira ngapi? Au serikali ingeitumia vipi?
Ina maana kwenye deni la taifa kila mwezi serikali ina service zaidi ya billion 12 point something kwa sababu waliwapa debt guarantee NHC ya mikopo kwenye miradi ambayo walitakiwa kulipa wenyewe kutokana na investment walizofanya.
Na walipa kodi wamekuwa wakilipa hayo madeni since the end of grace period ya mikopo ya NHC ilipoisha sometime in the early 2010.
TANESCO nako ni ivyo ivyo, is it common sense kuwarudisha kwenye body yoyote ya serikali watu waliowatia hasara hizo walipa kodi?
Kibaya zaidi wakati wanaanza kuelekea kuitia hasara serikali za baadae wengine walionya stop that nonsense. JK yeye ndio utamuona yupo nao akisifia Dar inapendeza na kujifanya anatoa historia ya NHC.
Wakati huo huo huyo Nehemia serikali inamlipia zaidi ya billioni 12 kila mwezi kwa mikopo aliyotakiwa kulipa yeye; akataka kukopa tena kwa guarantee ya serikali awekeze kwenye miradi yake ya ovyo. Hapo ndio Magufuli alipoona huu sasa ni upuuzi.
Hivi mnadhani huyo mtu Magufuli alimtimua kwa kumuonea; he just doesn’t have it.
Take it from me; kama kuna watu wana akili timamu ni muda wa kumwambia JK atulie Msoga na kucheza na wajukuu.
JK ni tatizo kwa mustakabali wa taifa sio kwa makusudi ila aoni mapungufu yake; he is just not an idea man.
Mtaongea sana chato gangHii ni term ya tatu ya JK.
Majungu tu.Mbona hakushitakiwa mahakamani kwa ufisadi?Huyu mchechu alivyokua D.G NHC alipiga madili ya Viwanja sana. Alikua ananunua viwanja kwa bei rahisi kupitia aliases then anaviuza kwa NHC kwa mabilioni, ama kweli safu nzima ya Mzee wa Msoga Itarudi yote. Yetu macho. Mama endelea kuupiga Mwingi.