Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuru naweza kukubaliana na wewe ila sio mchechu. Huyu alikua mwizi wazi kabisa.Hakika ....
Mchechu na Mafuru ni vijana wazalendo wenye weledi mno....
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI
Jakaya alifika pazuri wapi? Pa kuiba hela za umma? Wewe una akili kweli?Jamaa walituchelewesha sana kwa miaka mitano na miezi 5.
Kina Jakaya walikuwa wamefika pazuri lakini walivyoingia hawa jamaa wakaharibu na kutibua kila kitu ktk miaka 5 na miezi 5 waliyopewa uongozi uwe wa kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Ehh okkkkHakika ....
Mchechu na Mafuru ni vijana wazalendo wenye weledi mno....
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI
Ndiyo na nani huyu, au aliwahi kuwa madaraka gani huko nyuma.Hadi Mwanaidi Majaar !
Bodi nzito sana imejaa watu weledi
Mfano mwanabodi Abubakar Bahkresa anatoka ktk viwanda binafsi, suala la umeme na uzalishaji viwandani anaelewa unyeti wa kuwa na umeme wa kuaminika na wa bei nafuu.Abubakar is the Executive Director of Bakhresa Group. He controls the purchase and processing of wheat. Bakhresa Jr is a graduate of the Georgetown University and has a degree in finance. Read more: 10 top rich and successful children of billionaires in Africa
Huyu Mama kama sikosei aliwahi pia kuwa balozi wetu UK baadae akastaafu..sasa tena naona kaitiwa kwenye ulaji wa uzeeni...kazi iendelee.huyu ndiye nani na alikuwa nani?
Mkuu unabishana na chawa ? uchawa ni uhai utachemsha tuMafuru naweza kukubaliana na wewe ila sio mchechu. Huyu alikua mwizi wazi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magufuli lazima ageuke alale kifudifudi huko aliko
SwadaktaNgoja niwaambie issue ilipo nchi ipo kwenye ‘catch 22’
Mama amenogewa na nafasi ya uraisi ila hana uwezo wa kuendesha nchi wala awezi mudu mikiki ya kubakia come 2025
JK ana mbinu za kupindua meza CCM na anafahamu mbinu za kukamata madaraka which is good kumlinda mama asitishiwe nyau.
Tatizo lipo wapi kwa sababu mama hana dira JK anaamini deep down he was a good president and his measures were necessary for the nation prosperity.
Yaani aoni ubaya, tatizo lipo wapi JK finances zinampiga chenga sana. Yeye akiona miradi inaingia kwake ni mafanikio bila ya kuelewa long term debt commitment za nchi na kama hiyo miradi imefanyiwa appropriate appraisal.
Sasa kwenye kichwa chake watu kama Nehemia walikuwa na akili sana akiona majengo waliojenga as far as JK is concerned with his limited finance understandings that is progress.
Sasa aende ofisi ya DMO wizara ya fedha wamueleze gharama ya hiyo miradi ya yeye kuiwekea guarantee wakati aijilipi kwa walipa kodi na matumizi mabaya ya cash cow za NHS zilizokuwepo Nehemia alivyokuwa anazitumia kuficha his bad kwa kuwatupia kodi za nyongeza wapangaji wasiohusika.
Hizi ndio sababu wengine tulionya mama kumtumia mtu kama JK anajichimbia shimo; kwa sababu huyo mtu aoni makosa yake.
JK naively believes he was the best president; na afanyi hivyo kwa nia mbaya it’s just psychology.
Kuna watu inabidi wamrudishe huyu mtu kwenye dunia ya ukweli. He wasn’t a good president and he made more bad decisions than good ones.
Cha nani ?Mchechu, Mafuru, Mramba, n.k msoga line.
Huu si uteuzi wa jamaa. Kile kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege ni cha...?
Fungeni mikanda,ndo tumeanza kuingia kwenye turbulences, mpaka Dec 26, tutakuwa tumeshazoea.
Wenye meno wanarudi🚶🚶🚶. Hakika mama ni balaa.Tupambane jamani
Watu wanarudi wale wale kama vile watu hawapo
Pwani ya Kiwengwa is making the ability!
Kiongozi yeyote makini huwa anateua watu anaowafahamu au wanaofahamika na watu wake wa karibu kufanya nao kazi!! Huwezi ukamchukua mtu from nowhere ukaanza kufanya naye kazi, hii ni system ya dunia nzima!! Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa kupanda rank, utaanzia chini huku ukijijengea uaminifu kidogodogo hadi utafika huko juu!! Kama wewe ni muajiriwa angalia head wa department yako ni watu gani huwa anawaachia ofisi akisafiri?Tupambane jamani
Watu wanarudi wale wale kama vile watu hawapo
Hawalipwi mishahara bali wao wanakula posho ya kufa mtu kila pale wanapokutana posho ya siku moja inaweza kuwa sawa na mishahara ya mwaka mzima kwa wale wenzangu na mimi.
Hizo deals zinakuwaga za wanasiasa wao wanamegewa ganji kuona tu ili wahalalishe mambo lakini neema kubwa ni ya wanasiasa tena wazito wale untouchable.Hizo posho cha mtoto. Mambo iko kwenye deals kubwa kubwa kama zile za Richmond, IPTL, etc.