Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Hao labda walisomea hizo nafasi! Inawezekana Wana vyeti, Kama vile watu wanavyosomea uwaziri au ukuu wa wilaya na mkoa.
 
Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Hizo syo nafasi za utumishi wa UMMA
 
Mchechu, Mafuru, Mramba, n.k msoga line.

Huu si uteuzi wa jamaa. Kile kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege ni cha...?

Fungeni mikanda,ndo tumeanza kuingia kwenye turbulences, mpaka Dec 26, tutakuwa tumeshazoea.
Washacheki fursa zao

Hivi hakunaga watu wapya wenye maujuzi ya kuisadiia hii nchi Hadi kurudisha watu waliotimuliwa kwa au wenye rekodi za utata
 
Nchi ipo kwenye ‘catch 22’

Mama amenogewa na nafasi ya uraisi ila hana uwezo wa kuendesha nchi wala awezi mudu mikiki ya kubakia come 2025.

JK ana mbinu za kupindua meza ndani ya CCM hii ni situation mpya no one knows what to do.

JK anafahamu mbinu za kukamata madaraka which is good kumlinda mama asitishiwe nyau.

Tatizo lipo wapi kwa sababu mama hana dira JK anaamini deep down he was a good president and his measures were necessary for the nation prosperity.

So with good intentions JK anaamini mama atatimiza his unfinished business.

Yaani aoni ubaya wake, wakati JK finances zinampiga chenga sana. Yeye akiona miradi imeanzishwa hayo
kwake ni mafanikio bila ya kuelewa long term debt commitment za nchi na kama hiyo miradi imefanyiwa appropriate appraisal; ndio kama anavyolilia Bagamoyo port na gas Mtwara.

Sasa kwenye kichwa chake watu kama Nehemia walikuwa na akili sana akiona majengo waliojenga as far as JK is concerned with his limited finance understandings that is progress.

Ngoja sasa aende ofisi ya DMO wizara ya fedha wamuelezee gharama ya hiyo miradi na yeye kuiwekea guarantee wakati aijilipi kwa walipa kodi na madhara yake kwa national debt (we do know kwenye deni la taifa almost 10 trillioni ni deni la TANESCO na NHC).

Bado ujagusia matumizi mabaya ya cash cow za NHS Nehemia alivyokuwa anazitumia vibaya kuficha his bad investment kwenye cash flow kwa kuwatupia kodi za nyongeza wapangaji kwa madeni wasiohusika nayo ili kuongeza mapato ya kuhimili madeni ya bad investment alizofanya.

Hizi ndio sababu wengine tulionya mama kumtumia mtu kama JK anajichimbia shimo; kwa sababu huyo mtu aoni makosa yake.

JK naively believes he was the best president; na afanyi hivyo kwa nia mbaya it’s just psychology he actually believes he was doing the right thing.

Kuna watu inabidi wamrudishe huyu mtu kwenye dunia ya ukweli. He wasn’t a good president and he made more bad decisions than good ones; and it’s time he should step away for good. Huyu mtu ni tatizo kwa Tanzania.
Kuna falsafa Fulani ya msoga king huwa naikubali sana "if necessary use them,once the mission is finished dump them and don't look backward ,just enjoy your triumph"

[emoji1787][emoji1787]
 
Vasco Da Gama Era inarudi. Hao Jamaa ni Sensational tu, walikuwepo awamu ya nne nadhani, wali_deliver Nini? Hakuna kitu. February Mswahili Swahili tu kama babaake, line ya kina Vasco Da Gama inarudi.

Nilimuelewa sana JOHN POMBE MAGUFULI, The guy was real, down to earth.
He was like them in terms of upigaji

But to each in his own ways
 
Binafsi nampongeza sana Januari Makamba kwa nafasi aliyoipata. Makamba anahekima ya uongozi na nilishangaa sana kuona kipaji kama hiki kikitaka kupotezwa.
Makamba piga kazi na ninaimani Siku sio mingi watanzania wataukubali uwezo wako na kuona ata hiyo nafasi uliyonayo kwa sasa ni ndogo.
 
Endelea kuimba porojo za business acumen, utapururwa mpake uwe kama chapati iliyokosa mafuta
Nadhani ifike mahali Watanzania tuache roho mbaya na husda, Hawa watu wana business acumen na rekodi zao kwenye kumanage mashirika hazitii shaka. Km tunataka TANESCO iwe successful mnataka nani ateuliwe?
Sielewi sijui tumelogwa mtu akiwa kiongozi tunataka awe hana mali au chochote akimiliki mali basi mwizi mchechu kafanya kazi ngapi kawa kwenye bodi ngapi mpaka awe maskini?
Na mtu akiwa maskini tunasema nakumbuka nikiwa mwaka wa pili Chuo nilifanya field Ifakara tukapita pahala tukakuta mzee mmoja anapasia kuni kwa shoka, nikaambiwa unamuona yule alikua OCD, sijui pesa yake kafanyia nini.
Ifike pahala tuchukue watu weledi watuongozee mashirika yetu ufanisi upatikane.
RAI: Unapoteua watu km hawa tunategemea shirika liendeeshwe kibiashara sio tunaatumia milioni mia saba kupeleka umeme pahala ambapo kuna wateja sita ili tupate mtaji wa kisiasa bila kuangalia km hiyo investment ni nzuri kwa shirika au la though hii kwa sasa REA itakuwa imepunguza.
Tuwaache wafanye kazi tuache majungu na myopic thinking ili taifa lisone mbele.
 
Ndio maana ulianzishwa wimbo wa kuuza hisa 20% ipo kwenye DSE hawa watatu ni wauminj wa ahyo mambo Mchechu, Mafuru na Nanyaro hii ni close circle ya January ni wasomi wazuri lakini utawala wa JPM mchechu na mafuru waliondolewa Nanyaro alijipunguza mwenyewe toka EPZA.

Hatutapenda kusikia kampuni imetoka Toronto, marekani inapewa tender ya kuuza umeme yaleyale ya IPTL yatarudi.

Tuko watu milioni karibu 62 kweli majina yanarudi yale yale kwenye nafasi hivi ni nani aliyeturoga. Ifike wakati watawala waone aibu ku recycle watu walewale umaskini hauwezi kuisha kwa style hii. Ndio maana JPM watu walimpenda kwa ku break the circle na kuchukua watu wapya kabisa. Kuna mtu hapo kila real estate investment unasikia anamiliki huko high end neighbourhoods bado tena anateuliwa kuwa mjumbe wa bodi wengine washakua mabalozi washapiga hela ndefu kwenye law firm zao bado tu mnawarudisha. Hivi ni vioja.
Kampuni za mfukoni soon zitakuja
 
Back
Top Bottom