Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Naona unapiga ramli sio! Hakuna cha Mtao wa umeme wala nini! Nyie mlipoanza kukata umeme hovyo ili kumfanya Mama aoneoane hafai ilikuwa nini ile? Mmegunduliwa na kutolewa Nishati na Tanesco ndo mnaanza maneno! Hamna akili nyie mmejaa ushamba na chuki tu
Mie na nani tuliohusika kukata umeme? We subiria tu kuicheza ngoma ya Msoga
 
Tafuta uzi humu niliandika kumshauri Mama na Mama ameufanyia kazi , kuhusu hujuma zilizoanza kufanyika Tanesco na Nishati.

Hakuna cha Ngoma ya Msoga wala nini! Watu walianza kukata umeme ghafla, eti kituo cha Morogoro kikaungua kisa tu kuleta chuki kati ya Mama na Wananchi.

Na mama kawazingua Kweli. Hakuna mgao Tanzania
 
Hakuna shida. Sisi wananchi tunataka kuona umeme wa uhakika na wa bei nafuu unapatikana. Mwendo unaosuasua wa usambazaji umeme vijijini urudi kwenye kasi yake ya enzi za mwendazake tena bila upigaji.
Miradi mikubwa ya umeme isitetereke, ya Rufiji, Njombe na Makete. Umeme wa gesi utiliwe mkazo ili kuokoa jahazi wakati wa uhaba wa mvua unaoathiri mabwawa ya kuzalusha umeme wa maji.
Mimi sikuona shida ya Kalemani, alihitaji kukumbushwa tu kama alianza kupotoka. Makamba ni mpenda sifa na si mfuatiliaji kama alivyokua Kalemani. Yote kwa yote yetu tuwaombee wateule ili Mungu awaongoze wasimamie masilahi ya nchi na si masilahi ya watu wao na matumbo yao.
 
Mtu akiwa sio mfuatiliaji maana yake ni nini?
 
Tafuta uzi humu niliandika kumshauri Mama na Mama ameufanyia kazi , kuhusu hujuma zilizoanza kufanyika Tanesco na Nishati.

Hakuna cha Ngoma ya Msoga wala nini! Watu walianza kukata umeme ghafla, eti kituo cha Morogoro kikaungua kisa tu kuleta chuki kati ya Mama na Wananchi.

Na mama kawazingua Kweli. Hakuna mgao Tanzania
We subiria Escrow part 2 na sahizi hela watagawana kwenye VX V8 😅😅😅
 
List ya wajumbe imejaa wataalam wazalendo watupu...

Tutarajie bei ya umeme kushuka zaidiii🤣🤣🤣
 
Alikuwaga yuko kwenye system enzi za mkwere Kama sio waziri basi mkuu wa mkoa
Thanks, unaona kabisa kuwa Msoga anatawala nchi hii. Hivi na makamba alikuwa kwenye cabinet ya Kikwete? It is now open kuwa Kikwete ndiyo natoa maamuzi au put it simply anamshauri Mama kwa kiasi kikubwa. Kikwete na Makamba baba ni kitu kimoja, pete na kidole hivyo Makamba Jr kuwa waziri si ajabu sana kwa wanaojua the "inside story"!
 
Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
Hakuna mtu anaejitambua asiekuwa na njaa,binadamu anaejitambua lazima ana njaa ya kupanda zaidi ya alipo. Hata Jeff ana njaa,billgates ana njaa ndo maana unamuona anahangaika kuwekeza kwenye chanjo.
 
Sema wewe....... Unajua hawa viongozi wetu ni wezi sana halafu wanafikiri wananchi hawajui....
Wezi wanarudi wote..nani asiyejua wizi wa Mafuru NBC ....nani asiyejua wizi wa Mchechu NHC....its a shame...wanakusanyana tena wafanye tukio...
Alafu watu wanahubiri uzalendo feki...this is nonsense..
Anyway wacha huyu mama aimalizie tu nchi hakuna namna...
Kwani huyu bibi hatuwezi mpiga mashine hadharani 😂😂😂
 
Thanks, unaona kabisa kuwa Msoga anatawala nchi hii. Hivi na makamba alikuwa kwenye cabinet ya Kikwete? It is now open kuwa Kikwete ndiyo natoa maamuzi au put it simply anamshauri Mama kwa kiasi kikubwa. Kikwete na Makamba baba ni kitu kimoja, pete na kidole hivyo Makamba Jr kuwa waziri si ajabu sana kwa wanaojua the "inside story"!
Kuna kipindi enzi za Kikwete nadhani Makamba jr alikuwa mwandishi wake wa Hotuba...
 
Thanks, unaona kabisa kuwa Msoga anatawala nchi hii. Hivi na makamba alikuwa kwenye cabinet ya Kikwete? It is now open kuwa Kikwete ndiyo natoa maamuzi au put it simply anamshauri Mama kwa kiasi kikubwa. Kikwete na Makamba baba ni kitu kimoja, pete na kidole hivyo Makamba Jr kuwa waziri si ajabu sana kwa wanaojua the "inside story"!
Makamba pia aneshawai kuwa kwenye cabinet ya Magufuli umesahau? Na Magufuli Pia ameshawai kuwa kwenye cabinet ya Kikwete!
Hujui ilo?
 
Kitu kinacho fanywa na mama samia kinaitwa MAFISADI LEGACY wanakifanya kwa kuofia magufuli legacy hivyo wanarudisha watu wote wa ovyo walio timuliwa au kuwekwa jela na magufuli ili waweze kuua nguvu zozote za uzarendo maana huyu mama ana kesi chafu sana ya /17
Nimekuelewa sana,kila siku naamini huyu Mama ndo alihusika kumuua Magufuli
 
Back
Top Bottom