Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana?

Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

nembo.png
 
Bendera ya rais ina nembo ambayo haina bibi na bwana kwa hiyo unayoiona hapo kwenye podium ni nembo ya rais sio nembo ya taifa
Kwa hiyo kuna matukio Rais anatumia nembo ya Bendera ya Taifa na mengine anatumia nembo ya Bendera ya Rais? Au ni vyovyote tu whichever will come first? Msaada tena hapa hamada umelewa
 
Kwa hiyo kuna matukio Rais anatumia nembo ya Bendera ya Taifa na mengine anatumia nembo ya Bendera ya Rais? Au ni vyovyote tu whichever will come first? Msaada tena hapa hamada umelewa
Nadhani ni maboresho wamefanya kwa sababu hapo mwanzo walikuwa wanatumia nembo ya taifa iliyochorwa kwenye podium baadaye wakaja na iliyochongwa kwa sasa naona wameboresha wakaweka nembo ya rais na tokea waanze kuitumia naona hajaiacha
 
Back
Top Bottom