Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Hiyo ni nembo ya rais. Ipo siku zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😊😊😊Ni tofauti, moja ni ya Taifa, nyengine ni ya Ikulu.
Hakuna jipya hapo.
Nchi ngumu sana hii, ukoloni urudi tu. Mimi, kwa hali hii, sina shida nao kabisaaaaTofautisha presidential standard na coat of arms,hiyo ni civics form one ..mnakwama wapi?
(Uyo Magu alikua anajiamulia tu)
Rais ana ngao yake na bendera yake,pekua vizuri kumbukumbuNajua kuna bendera ya Taifa na bendera ya Rais.
Ngao ya Taifa ni moja.
Hilo la kumwondoa bibi na bwana liangaliwe.
Yes, kuna rangi ya gold[emoji1628]Mwanasheria alikosea kusema hakuna rangi ya njano
Anaupiga Mwingi!!! Tulia hivyo hivyo!!!Mbona simuoni