NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
IMG_7939.jpeg


Usiku wa kuamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
 
Mkuu siku zote huwa anapiga kelele za namna hiyo? Huwa kuna vibali vya matamasha ya namna hiyo rejea mziki mnene,fiesta na mikesha mingne iwe ya dini au ya kijamiii huwa ipo na wanapewa kibali kabisa cha uendeshaji wa shughuli hiyo na haiwezi kiwa mwezi mzima mara nying haizid siku 7
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am ded up with this hooliganism and indoctrination.
Uko sahihi kabisa. Hawa watu wana makelele mno na kwabahati mbaya sana ni matapeli kama matapeli wengine.
 
Utapeli unapimwa kwa wingi wa kesi walizofunguliwa
Unadhani ni kila mtu ana uwezo kujua anatapeliwa? Unaweza kuwa unahudhuria kila siku na kutapeliwa lakini usijue. Wewe ni miongozi mwao. Kweli wajinga ndiyo waliwao. Mwenzenu anachukuwa watototo wazuri na kula maisha nyie mnateseka kufanya kazi kumpelekea fedha.
 
Back
Top Bottom