NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am ded up with this hooliganism and indoctrination.
Japo ni kweli kelele ya jana ya Mwamposa usiku kucha mpaka kuna kucha, sii ya kawaida!, ilikuwa very disturbing!. Mimi naishi mbezi Beach ten km toka Kawe, ilikuwa very disturbing, then imagine kwa watu wa Kawe hali ilikuwaje?!. Atakuwa amefunga PA mpya, hivyo hili bandiko litamsaidia asiweke volume full blast.

Ila haya mambo ya imani za watu na imani zao, waheshimiwe, usiite ni ujinga!, na anachofanya sio maujinga kwa waumini wake ni mahubiri na mafundisho ya Mungu wao, hata kama wewe huamini!.

Ukisoma critical analysis za mpinga Kristo, anasema ukristo ni ujinga fulani hivi!. Ukikutana na wafia dini watakuambia Uislam ni ujinga fulani. Wakristo na Waislamu wanaoamini Mungu, wanawaona Hinduism na Buddhism kama ujinga fulani. Hivyo usiite ujinga imani yoyote ambayo sio imani yako.
P
 
Sikuwa nafehemu kuwa Mwamposa ni mwanaharamu.

Hebu tufafanulie hapo zaidi
Hana mke, ni malaya mbadilisha wanawake. Alikuwa na Martha Mwaipaja, akawa na Christina Shusho na sasa hivi yuko na mrembo mpya. Anadhulumu maskini wenye frustrations za maisha kupitia biashara ya maji na mafuta, anajenga mahekalu na mahoteli wakati wafuasi wake hata nauli za kurudia majumbani kwao baada ya ibada hawana.
 
Ila noise pollution inakera sana. Unakuta mtu unataka kumpumzika baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, halafu watu wanakupigia makelele yao.

Kwa nini wafunge vipaza sauti juu! Kwa nini wafungulie muziki mwa sauti ya juu!! Haya mambo ifikie wakati yakomeshwe.
 
Utawadanganya wajinga wajinga wenzakokuwa Mwamposa ni mtumishi wa Mungu. Mtumishi gani ana tamaa ya fedha namna hiyo? Mtu mtumishi gani anaogelea kwenye bahari ya ngono na muda wote anabadilisha wanawake na kuzaa hovyo?
Mtumishi wa Mungu au wa Shetani ni siri yake na kwa kupitia maandiko anatambulika ni madhabau ipi anayoitumikia.
 
Hivi yale ni madhehebu gani ya kiislamu shehe anahubiri kama analia niliwasikia kwenye limsikiti fulani la wahindi kule katikati ya jiji jamhuri
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
sadakaa zinakusumbua nani kakwambia ukae kawe kuna mbezi beach tegeta njoo huku mkuu
 
Ni kweli nina matatizo na matatizo yenyewe yanasababishwa na kelele za Mwamposa. Kwanini asidhibitiwe na mamlaka husika kuweka sound proof?.

Waumini wake wako Kawe kanisani kwake, kwanini atusumbue sisi tulio majumbani mwetu?
Mkiacha kumsikiliza hamtosikia kelele
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
zilekelelee za saa kumi kila siku huzisikii ama una matongotongo kaa kwa passwd tutazuia na yale makelelee ya saa kumi kila siku.....usijitoe ufahamu anza na hizi kwanza ,,usiumie na imani za watu na ukienda tegeta tunakuja humo humo
 
shida moja kaweee kuna wachawi wengi sana sanaa sana kama una ndugu uliza sasa kishindo cha jana wengi walishindwa kupiga kazi zao na wengine waliteseka sana
kuna kipindi nyumba kadhaa mwaka jana zzilikuwa zinapiga makelelee mwamposa akiomba na hawakulala majini yalipanda

la maana tutakesha tutasali tukitoka kawe basi wanachi wawe huru
atuwezi kuacha mkesha na maombi huku watotoo wakilia usiku kucha huku mnalogana watu waachane ndoa zao waafukuzwe kazi zao kwa hayna mengine mwezi ujao mwingine mkesha unakuja mjiandae
 
Bila shaka wewe ni aina ya watu wenye matatizo ya akili
hata ukiwa kwenye mapenzi ukicheza n akili yako vizuri unaweza kuamuaku pz hata baada ya nusu saa wewe tu sasa ukisikia kelele ukaikataa akilini unalalaa murwaa ila kama una majini mapepo nakwambia hulali mpaka yakutoke ndio utalalaa
 
kasimame vituo vya kawe kila lisaa limoja lazima ukutane na kijanaaa zombi aama mdada mzuri kabisa kachanganyikiwa KAMA WANAKAGUA ABIRIA sasa hawa wanaoteseka kuna ndugu ama majirani wananufaika nao wakiona wako vile tunataka kuwaondoa kabisa utumwan na hii michezo ya kulipuaanaa mkiaacha tutapunguza mikesha else mjiandaee sanasanaa badotukotuko sanaaa
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
MWAAMBAAAAAA ACHA KABISAAA TOKA SAA NNE MPAKA KUMI NA MOJA NON STOP LAZIMA MAJINI YATOOOKEEEEEE
 
Back
Top Bottom