bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Akili kichwan mwako chunguza maandiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kichwan mwako chunguza maandiko
N MAANDIKO USISHINDANE NA MPUMBAVU USIJE KUWA ,PUMBAVUWewe pimbi hujui unachoongea kwa kuwa uko indoctrinated tayari. Wewe kwa sasa Mwamposa akitaka uuuze mali zako na mujichome moto ili kwenda mbinguni kama alivyofanya KIBWETERE, utakubali tu mbwa wewe. Yaani mtu na akili zako unamfuata Mwamposa?? Shenzi kabisa
kamaa kanisa lako linakufundisha matusi hivi basi una shida kama sie anaekuongoza turn ur life toGodMimi siyo mbumbumbu wa imani kenge wewe. Mimi ni Mkatoliki ambaye ninasali kwenye Kanisa Takatifu la Mitume, lililoanzishwa na Mtume Petro kwa maagizo ya Yesu Kristu mwenyewe soma Mathayo 16:18.
Mimi na akili zangu siwezi kufuata huo uhayawani wenu kwa hao matapeli mnawaita manabii
Imani za kuwa brainwashed ni upumbavu tu. Na hatuwezi kuwacha kuwakemea kwa sababu mkifa mnatuletea matatizo sisi tunaobakiMbona Watu wanakufa maka huko na hawaachi kwenda. Kumbuka imani ni zaidi ya akili yako
Hakuna matusi hapo sema akili zenu mumejizima data. Hiyo brainwash mlitopigwa na Mwamposa siyo ya kitoto !! Ni sawa tu na ya wale wakenya wa Shakahola.kamaa kanisa lako linakufundisha matusi hivi basi una shida kama sie anaekuongoza turn ur life toGod
Hana mke, ni malaya mbadilisha wanawake. Alikuwa na Martha Mwaipaja, akawa na Christina Shusho na sasa hivi yuko na mrembo mpya. Anadhulumu maskini wenye frustrations za maisha kupitia biashara ya maji na mafuta, anajenga mahekalu na mahoteli wakati wafuasi wake hata nauli za kurudia majumbani kwao baada ya ibada hawana.

Hizi ni cult tu ndugu hakuna dini pale, biblia kidogo na uchawi wa Nigeria. Watu wanakuwa brainwashed na hizo ndiyo stages za awali za kufikia walikofika akina Kibwetere na Mackenzie.Japo ni kweli kelele ya jana ya Mwamposa usiku kucha mpaka kuna kucha, sii ya kawaida!, ilikuwa very disturbing!. Mimi naishi mbezi Beach ten km toka Kawe, ilikuwa very disturbing, then imagine kwa watu wa Kawe hali ilikuwaje?!. Atakuwa amefunga PA mpya, hivyo hili bandiko litamsaidia asiweke volume full blast.
Ila haya mambo ya imani za watu na imani zao, waheshimiwe, usiite ni ujinga!, na anachofanya sio maujinga kwa waumini wake ni mahubiri na mafundisho ya Mungu wao, hata kama wewe huamini!.
Ukisoma critical analysis za mpinga Kristo, anasema ukristo ni ujinga fulani hivi!. Ukikutana na wafia dini watakuambia Uislam ni ujinga fulani. Wakristo na Waislamu wanaoamini Mungu, wanawaona Hinduism na Buddhism kama ujinga fulani. Hivyo usiite ujinga imani yoyote ambayo sio imani yako.
P
Adhana ya Kiislamu kwenye misikiti haifiki dakika 5 kila wakiswali. Huwezi compare na hawa washenzi wa madhehebu ya kilokolezilekelelee za saa kumi kila siku huzisikii ama una matongotongo kaa kwa passwd tutazuia na yale makelelee ya saa kumi kila siku.....usijitoe ufahamu anza na hizi kwanza ,,usiumie na imani za watu na ukienda tegeta tunakuja humo humo
Kuna kanisa gani pale kwa Mwamposa kama siyo itikadi ya kishenzi tu??Pole sana Mbumbumbu wa karne ambaye hujui lolote juu ya Imani. Kumbuka kanisa ni zaidi ya upeo wako wa kufikiri
Dah...Japo ni kweli kelele ya jana ya Mwamposa usiku kucha mpaka kuna kucha, sii ya kawaida!, ilikuwa very disturbing!. Mimi naishi mbezi Beach ten km toka Kawe, ilikuwa very disturbing, then imagine kwa watu wa Kawe hali ilikuwaje?!. Atakuwa amefunga PA mpya, hivyo hili bandiko litamsaidia asiweke volume full blast.
Ila haya mambo ya imani za watu na imani zao, waheshimiwe, usiite ni ujinga!, na anachofanya sio maujinga kwa waumini wake ni mahubiri na mafundisho ya Mungu wao, hata kama wewe huamini!.
Ukisoma critical analysis za mpinga Kristo, anasema ukristo ni ujinga fulani hivi!. Ukikutana na wafia dini watakuambia Uislam ni ujinga fulani. Wakristo na Waislamu wanaoamini Mungu, wanawaona Hinduism na Buddhism kama ujinga fulani. Hivyo usiite ujinga imani yoyote ambayo sio imani yako.
P
N MAANDIKO USISHINDANE NA MPUMBAVU USIJE KUWA ,PUMBAVU
bora mshenzi kuliko mpu.....
Kenge hasikii mpaka umtoe damu masikionikamaa kanisa lako linakufundisha matusi hivi basi una shida kama sie anaekuongoza turn ur life toGod
Kwani uchawi unashida gani kama unakusaidia na mambo yako yakuwa mazuriYaani wamenizidi fedha haramu ndiyo niwanyamazie? Eti wamenizidi elimu? Wangekuwa na elimu wasingekubali kununua maji na mafuta!! Huo ni uchawi tu wa Mwamposa