Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
- Thread starter
- #101
Nani kakuambia sina pesa pumbavu wewe. Nina pesa ya kutafuta kwa nguvu zangu siyo hiyo ya Mwamposa ya kudhulumu wajane na wagumba.Acha wivu na roho mbaya,yawezekana wewe ndio una mabaya zaidi hata ya mwamposa,nakushauri pambana kutafuta pesa uondokane na umasikini na wivu wa kisengerema.