NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

Hana mke, ni malaya mbadilisha wanawake. Alikuwa na Martha Mwaipaja, akawa na Christina Shusho na sasa hivi yuko na mrembo mpya. Anadhulumu maskini wenye frustrations za maisha kupitia biashara ya maji na mafuta, anajenga mahekalu na mahoteli wakati wafuasi wake hata nauli za kurudia majumbani kwao baada ya ibada hawana.
Martha Mwaipaja na Christina Shusho ni wake za watu hao.. kuna ukweli au umeamua kuwachafua watumishi wa mungu.
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
Mwamposa anakula na wakubwa
 
Pole sana Mbumbumbu wa karne hii na ambaye huwezi thibitisha juu ya mambo ya Imani na unaanza kutunga stori zako. Hivi huwa Uoni zile Imani zingine zinafunga kabisa barabara na kuweka matent barabarani mpaka Wiki njoo hapo Ilala,Magomeni Tandika mbona hujawahi jadili jambo hilo au Huyu Mchungaji amekukera kwa Watu kufurika kwake .

Mtu mwenye wafuasi wengi vile wenye elimu na nguvu za kiuchumi tena wengine wenye Mamlaka makubwa ndani na nje ya hii nchi wanakwenda kumsikiliza yeye jua wazi pale kuna jambo si kawaida ukipata fursa nenda kachunguze vizuri ili usiropoke na kuonekana huna akili.

Ebu fikiri kampuni ya Abood bus service inapeleka magari 10+ yanapark pale kutokea huko mikoani inasubiria abiria iliowaleta kutokea mikoani ,Hotel za maeneo ya Kawe,Mbezi,Tegeta,Kunduchi zimejaa waamini wake ili wahudhurie ibada,Tax,Boda,Bajaji,Daladala wanapata fursa ya kupata abiria,Television karibu tano zinapata Matangazo yake,Wafanyabiashara ndogondogo wanapata wateja,Watu walioajiriwa kwake ni wengi.Yaani wewe Mbumbumbu badala ya kuona utajiri na neema ya fursa anazoleta huyo Mchungaji wewe unaona kero tu.Roho ya kimaskini inakutafuna sana.Huu muda nilitegemea kuwa unazo Bajaji pale zinapiga hela,Unacho kigest pale Watu wanalala ,Unao mgahawa pale Watu wanakula, Eti umekuja hapa inalalamika Uzio ambao unajengeka Fasta tu wakati huo serikali imeshakusanya kodi kwenye Hotel,vyombo vya usafiri, na imesaidiwa kupunguza tatizo la ajira. Amka toka shimoni.

Ukiona Mtu anawafuasi wengi Mtazame kwa jicho la tatu Mtu wa kawaida hawezi kuwa na Ushawishi vile.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Serikali inawaogopa sana wachungaji hasa mama samia anaofia kuambiwa kuwa anawaonea sababu yeye sio dini yake hata jafo hawazi fanya lolote kuhusu makanisa labda wananchi wa kichoka waamue kuwanyamazisha kila kona ya nchi hii makanisa ya kirokole ni kelo, tinga tinga tu lioikuwa halihiali sijui muisilamu mkirito kisu kinapita tu lakini huyo mama haaaaaaa hawezi kabisa ni muoga mno
 
HATA MISIKITI INAPIGA SANA KELELE HATULALI VEMA HASA ILE ALFAJIRI
Hapa anaongewa mwamposa sio misikiti na wewe anzisha hoja yako yakuhusu misikiti pia utaje hizo kelele zinadumu muda gani,sababu makanisa ya kirokole miziki vilio mchana kutwa na usiku bila kujali kuwa kuna baadhi ya waumini wao ni wagonjwa
 
Mkuu siku zote huwa anapiga kelele za namna hiyo? Huwa kuna vibali vya matamasha ya namna hiyo rejea mziki mnene,fiesta na mikesha mingne iwe ya dini au ya kijamiii huwa ipo na wanapewa kibali kabisa cha uendeshaji wa shughuli hiyo na haiwezi kiwa mwezi mzima mara nying haizid siku 7
Kibali gani hicho kinacho vunja sheria ya mitetemo?fahamu miziki sio Katazo ila ipigwe kwa sauti ya chini sio ya maudhi
 
Chalamila alishalisemea hili kwamba mshindane kwa kelele atakaemzidi mwenzake amfuate
IMG-20230708-WA0034.jpg
 
sadakaa zinakusumbua nani kakwambia ukae kawe kuna mbezi beach tegeta njoo huku mkuu
Naishi Mbezi Beach karibu na Club 25, ndiko nimesikia hayawani huyo
 
Pole sana Mbumbumbu wa karne ambaye hujui lolote juu ya Imani. Kumbuka kanisa ni zaidi ya upeo wako wa kufikiri
Mimi siyo mbumbumbu wa imani kenge wewe. Mimi ni Mkatoliki ambaye ninasali kwenye Kanisa Takatifu la Mitume, lililoanzishwa na Mtume Petro kwa maagizo ya Yesu Kristu mwenyewe soma Mathayo 16:18.

Mimi na akili zangu siwezi kufuata huo uhayawani wenu kwa hao matapeli mnawaita manabii
 
Pole sana Mbumbumbu wa karne hii na ambaye huwezi thibitisha juu ya mambo ya Imani na unaanza kutunga stori zako. Hivi huwa Uoni zile Imani zingine zinafunga kabisa barabara na kuweka matent barabarani mpaka Wiki njoo hapo Ilala,Magomeni Tandika mbona hujawahi jadili jambo hilo au Huyu Mchungaji amekukera kwa Watu kufurika kwake .

Mtu mwenye wafuasi wengi vile wenye elimu na nguvu za kiuchumi tena wengine wenye Mamlaka makubwa ndani na nje ya hii nchi wanakwenda kumsikiliza yeye jua wazi pale kuna jambo si kawaida ukipata fursa nenda kachunguze vizuri ili usiropoke na kuonekana huna akili.

Ebu fikiri kampuni ya Abood bus service inapeleka magari 10+ yanapark pale kutokea huko mikoani inasubiria abiria iliowaleta kutokea mikoani ,Hotel za maeneo ya Kawe,Mbezi,Tegeta,Kunduchi zimejaa waamini wake ili wahudhurie ibada,Tax,Boda,Bajaji,Daladala wanapata fursa ya kupata abiria,Television karibu tano zinapata Matangazo yake,Wafanyabiashara ndogondogo wanapata wateja,Watu walioajiriwa kwake ni wengi.Yaani wewe Mbumbumbu badala ya kuona utajiri na neema ya fursa anazoleta huyo Mchungaji wewe unaona kero tu.Roho ya kimaskini inakutafuna sana.Huu muda nilitegemea kuwa unazo Bajaji pale zinapiga hela,Unacho kigest pale Watu wanalala ,Unao mgahawa pale Watu wanakula, Eti umekuja hapa inalalamika Uzio ambao unajengeka Fasta tu wakati huo serikali imeshakusanya kodi kwenye Hotel,vyombo vya usafiri, na imesaidiwa kupunguza tatizo la ajira. Amka toka shimoni.

Ukiona Mtu anawafuasi wengi Mtazame kwa jicho la tatu Mtu wa kawaida hawezi kuwa na Ushawishi vile.
Wewe pimbi hujui unachoongea kwa kuwa uko indoctrinated tayari. Wewe kwa sasa Mwamposa akitaka uuuze mali zako na mujichome moto ili kwenda mbinguni kama alivyofanya KIBWETERE, utakubali tu mbwa wewe. Yaani mtu na akili zako unamfuata Mwamposa?? Shenzi kabisa
 
NAISHI MBEZI BEACH MAENEO YA SKY LOUNGE SIJASIKIA HIZOKELLELE
Wewe huwezi kuishi Mbezi Beach na ufukara ulio nao. Labda uwe mlinzi wa saiti ambayo haijalamilika kujengwa
 
Pole sana Mbumbumbu wa karne hii na ambaye huwezi thibitisha juu ya mambo ya Imani na unaanza kutunga stori zako. Hivi huwa Uoni zile Imani zingine zinafunga kabisa barabara na kuweka matent barabarani mpaka Wiki njoo hapo Ilala,Magomeni Tandika mbona hujawahi jadili jambo hilo au Huyu Mchungaji amekukera kwa Watu kufurika kwake .

Mtu mwenye wafuasi wengi vile wenye elimu na nguvu za kiuchumi tena wengine wenye Mamlaka makubwa ndani na nje ya hii nchi wanakwenda kumsikiliza yeye jua wazi pale kuna jambo si kawaida ukipata fursa nenda kachunguze vizuri ili usiropoke na kuonekana huna akili.

Ebu fikiri kampuni ya Abood bus service inapeleka magari 10+ yanapark pale kutokea huko mikoani inasubiria abiria iliowaleta kutokea mikoani ,Hotel za maeneo ya Kawe,Mbezi,Tegeta,Kunduchi zimejaa waamini wake ili wahudhurie ibada,Tax,Boda,Bajaji,Daladala wanapata fursa ya kupata abiria,Television karibu tano zinapata Matangazo yake,Wafanyabiashara ndogondogo wanapata wateja,Watu walioajiriwa kwake ni wengi.Yaani wewe Mbumbumbu badala ya kuona utajiri na neema ya fursa anazoleta huyo Mchungaji wewe unaona kero tu.Roho ya kimaskini inakutafuna sana.Huu muda nilitegemea kuwa unazo Bajaji pale zinapiga hela,Unacho kigest pale Watu wanalala ,Unao mgahawa pale Watu wanakula, Eti umekuja hapa inalalamika Uzio ambao unajengeka Fasta tu wakati huo serikali imeshakusanya kodi kwenye Hotel,vyombo vya usafiri, na imesaidiwa kupunguza tatizo la ajira. Amka toka shimoni.

Ukiona Mtu anawafuasi wengi Mtazame kwa jicho la tatu Mtu wa kawaida hawezi kuwa na Ushawishi vile.
👍👍👍👍
 
Back
Top Bottom