NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

Acha wivu na roho mbaya,yawezekana wewe ndio una mabaya zaidi hata ya mwamposa,nakushauri pambana kutafuta pesa uondokane na umasikini na wivu wa kisengerema.
Nani kakuambia sina pesa pumbavu wewe. Nina pesa ya kutafuta kwa nguvu zangu siyo hiyo ya Mwamposa ya kudhulumu wajane na wagumba.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Mimi huwa najiuliza sana huyu Mungu wa Mwamposa hana uchungu na walemavu wa huku mitaani.

# Enewei mtoa mada una hoja usikilizwe.
 
Pale Dodoma mji mwema,ikifika saa 11 hulali maana misikiti kama yote,halafu wanashindana kusali kwenye maspika.Hadi saa 12 na dk kadhaa ndio panatulia.Inaudhi sana ni vile hamjui tu
Saa kumi na moja unalalaje?? Ni alfajiri amka ukateseke,unasaidiwa kuamka ukapate tabu!!
 
Shukuru Mungu unapigiwa kelele angalao kunahofu ya Mungu kuliko kigodoro na Akudo
 
Huku uswaz kuna jamaa kamkodisha mtu kiwanja, kaanzisha kikanisha chake, jamaa anaondoka jioni anaacha spika zinahubiri usiku kucha kwa sauti ya juu...
 
Huu UWEMDAWAZIMU umerududia tena. Leo pia tumepigiwa kelele na huyu TAPELI wa Biblia anayejiita Mtume Mwamposa.
 
Mshukuru Mungu hata una nafasi na masikio ya kusikia kelele
 
Mshukuru Mungu hata una nafasi na masikio ya kusikia kelele
Kwa nini? Kwani Mungu ameniumba kupigiwa kelele ma matapeli wa biblia?

Kila mmoja akasali kanisani kwake bana!! Mnatuletea hypertension bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…