A Anonymous Guest Feb 25, 2026 #1 Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,927 Feb 25, 2026 #2 Anonymous said: Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala? Click to expand... Unaijua vii eitee mkuu??? Hata ukipiga vipi kelele kwenye bodaboda yako, alie ndani ya vii eitee anasikia sauti kwa mbaliii. Watu ambao wangetatua tatizo hili wao wanatumia vii eitee, kelele za boda haziwahusu.
Anonymous said: Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala? Click to expand... Unaijua vii eitee mkuu??? Hata ukipiga vipi kelele kwenye bodaboda yako, alie ndani ya vii eitee anasikia sauti kwa mbaliii. Watu ambao wangetatua tatizo hili wao wanatumia vii eitee, kelele za boda haziwahusu.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 Feb 25, 2026 #3 Ni kama serikali hii ya wauaji imelishindwa
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,188 Reaction score 4,116 Feb 25, 2026 #4 Hili ni tatizo la nchi nzima. Hakuna anayejali.