NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Basi na maspika ya matangazo ya wamachinga yafungwe yanapiga kelele
Yalitakiwa kufungwa muda mrefu sana, ule ni upuuzi mtupu, sokoni watu wanauza bila maspika yoyote.
 
Mbona nasikia omba omba huwa wanapiga magitaa mbele ya Maduka makubwa na kuporomosha Mziki wenye kuburudisha?
Mkuu wapo omba omba kwenye underground zinakopita train na Gita zao ila unapita wangu wangu na hakuna anaekaa hapo zaidi ya kupita tu
Yeye anasubiri umtupie hela tu
Madukani wapo na hata wahubiri wapo

Kuna siku nilimuona mwanamke mweusi na mwanaume wameweka maspika wanahubiri dini ya kikristo ila kelele sio za kukera na sio kila siku

Wanaopiga kelele na Gita zao sio kila mahali wana target zao Especially katikati ya jiji kama Soho, Trafalgar square au Oxford Street na hata Harrods utaona mmoja mmoja kwa kuwa foreigners wa kiarabu wanakuja sana
Ila ni kelele zao ukivuka Tambo kumi tu husikii tena

Sasa huko mpaka mtaa wa pili unazisikia kelele
 
Imagine mtu anapora kodi yangu serikalini ananenepa mpaka anaugua Presha halafu anastaafu anakuja kukaa kitaa na kunilazimisha mimi mlipakodi nifunge biashara yangu. Tanzania ya kibwanyenye.
 
Mkuu tusiingize siasa kila jambo.
Muziki wa juu unatesa sana raia karibu na bar.
Unasababisha hadi presha kwa wazee.

Hebu fikiri una mgonjwa ndani halafu muziki uko juu hadi kuta za nyumba zatetema
Hata Mimi naunga mkono hoja ya kuwa na muziki wenye staha kwenye baa.
 
Mkuu hata goli linapoigia nyavuni kwenye London Derby?
Hahaha [emoji38] [emoji23] [emoji38] hiyo ni raha na furaha ya sekunde chache mkuu na kwa kuwa ujenzi umejengwa kuta za kwenda juu zaidi sauti haisikiki sana

Pamoja na kuwa na high decibels
 
Mkuu wapo omba omba kwenye underground zinakopita train na Gita zao ila unapita wangu wangu na hakuna anaekaa hapo zaidi ya kupita tu
Yeye anasubiri umtupie hela tu
Madukani wapo na hata wahubiri wapo

Kuna siku nilimuona mwanamke mweusi na mwanaume wameweka maspika wanahubiri dini ya kikristo ila kelele sio za kukera na sio kila siku

Wanaopiga kelele na Gita zao sio kila mahali wana target zao Especially katikati ya jiji kama Soho, Trafalgar square au Oxford Street na hata Harrods utaona mmoja mmoja kwa kuwa foreigners wa kiarabu wanakuja sana
Ila ni kelele zao ukivuka Tambo kumi tu husikii tena

Sasa huko mpaka mtaa wa pili unazisikia kelele
Mkuu sisi hapa Serikali inajali wenye presha kuliko wale walioripotiwa kuwa ni wezi wa matrilioni hivi na huko Uingereza wako hivyo?
 
Hahaha [emoji38] [emoji23] [emoji38] hiyo ni raha na furaha ya sekunde chache mkuu na kwa kuwa ujenzi umejengwa kuta za kwenda juu zaidi sauti haisikiki sana

Pamoja na kuwa na high decibels
Kwa mfano kuna mtu alipigwa 7 vipi hapo?
 
Kwani hizo bar ni kumbi za mziki au zinauza pombe?

Kwanza zilipaswa zifunguliwe sehemu isiyo makazi ya watu, pili wajikite kwenye biashara yao ya kuuza vinywaji na chakula, tatu wajue kwamba kuna binadamu wanaishi na hawataki kelele

kama kuna mtu anabishana na maamuzi sahihi ya NEMC, HAKIKA HUYO MTU NI MPUMBAVU

MWISHO, huu uzi ni wakipumbavu sana , kwa hivyo hizo bar amabazo tuko nazo majumbani zipige muziki tu bila control ya serikali, yaani sisi tusiopenda muziki tuumizwe tu kwa sababu wao wanafanya biashara. VERY STRANGE WAY OF THINKING, ITS ONLY IDIOTS CAN ARGUE LIKE THAT
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Unamtazamo wakidini lakini tambua hojayako nimfu hajafunga kiwanda chapombe hatakimoja toka aingie madarakani kumbuka adhana ilikuwa ikitolewa SAA 9 nakuendelea lakini sasa nikuanzia SAA 11 alfajiri baada yakuchukuliwa kama kelele lakini mpaka sasa ibada inaendelea kama kawa sasa nyie walevi na wakataviuno fateni sheria muendelee na ibada yenu yakukata viuno na kulewa chakari sheria ifatwe
 
Mkuu sisi hapa Serikali inajali wenye presha kuliko wale walioripotiwa kuwa ni wezi wa matrilioni hivi na huko Uingereza wako hivyo?
Hapo ni mambo mawili tofauti Mkuu
Hata huku wanajali zaidi wagonjwa na wazee yaani kwa ujumla wanajali utu zaidi na kuheshimu maadili yote

Kuhusu wizi
Ni kusema tu hao mmewatengeneza wenyewe kwa kuwachagua na wakachaguana wao kwa wao tena.

Wamekuwa waizi mpaka wanaona ni haki yao kuwaibia
Na hakuna wa kuwafanya kitu kwani kuanzia juu ni wale wale
Kwa huku ni tofauti sana
Wanaogopa sana kashfa na wana jali maslahi ya Taifa kwanza
 
MEMC wangeyafungia Mashangingi ya serikali yanayochafua mazingira na kusababisha foleni.
 
Sisi wanywaji tunasubiria October 2025 tufanye yetu, bado miezi 17 kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na miezi 29 kwa Uchaguzi Mkuu, ni miezi michache sana
 
Kwa mfano kuna mtu alipigwa 7 vipi hapo?
Hapo ndio balaa sasa
87 decibels ndio kelele za Stadium [emoji909] ila zinaenda juu zaidi
Ukiwa ndani ndio utakoma ila kama uko jirani husikii

Na huko wanaoingia wanajua kelele ni lazima
 
Hata huku wanajali zaidi wagonjwa na wazee yaani kwa ujumla wanajali utu
Huko nasikia mtu akiwa hana kitu Serikali inamsaidia ili asife njaa hapa wanajihurumia wenye presha wakati wenye njaa wanashindia mlo mmoja na wengine kufa kwa utapia mlo sugu.
 
Back
Top Bottom