Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Yalitakiwa kufungwa muda mrefu sana, ule ni upuuzi mtupu, sokoni watu wanauza bila maspika yoyote.Basi na maspika ya matangazo ya wamachinga yafungwe yanapiga kelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalitakiwa kufungwa muda mrefu sana, ule ni upuuzi mtupu, sokoni watu wanauza bila maspika yoyote.Basi na maspika ya matangazo ya wamachinga yafungwe yanapiga kelele
Mkuu wapo omba omba kwenye underground zinakopita train na Gita zao ila unapita wangu wangu na hakuna anaekaa hapo zaidi ya kupita tuMbona nasikia omba omba huwa wanapiga magitaa mbele ya Maduka makubwa na kuporomosha Mziki wenye kuburudisha?
Kuna pale Kariakoo Msimbazi zile si kelele za nchi hii Labda kama walishazuiwa nao?Yalitakiwa kufungwa muda mrefu sana, ule ni upuuzi mtupu, sokoni watu wanauza bila maspika yoyote.
Hata Mimi naunga mkono hoja ya kuwa na muziki wenye staha kwenye baa.Mkuu tusiingize siasa kila jambo.
Muziki wa juu unatesa sana raia karibu na bar.
Unasababisha hadi presha kwa wazee.
Hebu fikiri una mgonjwa ndani halafu muziki uko juu hadi kuta za nyumba zatetema
Hahaha [emoji38] [emoji23] [emoji38] hiyo ni raha na furaha ya sekunde chache mkuu na kwa kuwa ujenzi umejengwa kuta za kwenda juu zaidi sauti haisikiki sanaMkuu hata goli linapoigia nyavuni kwenye London Derby?
Mkuu sisi hapa Serikali inajali wenye presha kuliko wale walioripotiwa kuwa ni wezi wa matrilioni hivi na huko Uingereza wako hivyo?Mkuu wapo omba omba kwenye underground zinakopita train na Gita zao ila unapita wangu wangu na hakuna anaekaa hapo zaidi ya kupita tu
Yeye anasubiri umtupie hela tu
Madukani wapo na hata wahubiri wapo
Kuna siku nilimuona mwanamke mweusi na mwanaume wameweka maspika wanahubiri dini ya kikristo ila kelele sio za kukera na sio kila siku
Wanaopiga kelele na Gita zao sio kila mahali wana target zao Especially katikati ya jiji kama Soho, Trafalgar square au Oxford Street na hata Harrods utaona mmoja mmoja kwa kuwa foreigners wa kiarabu wanakuja sana
Ila ni kelele zao ukivuka Tambo kumi tu husikii tena
Sasa huko mpaka mtaa wa pili unazisikia kelele
Kwa mfano kuna mtu alipigwa 7 vipi hapo?Hahaha [emoji38] [emoji23] [emoji38] hiyo ni raha na furaha ya sekunde chache mkuu na kwa kuwa ujenzi umejengwa kuta za kwenda juu zaidi sauti haisikiki sana
Pamoja na kuwa na high decibels
Unamtazamo wakidini lakini tambua hojayako nimfu hajafunga kiwanda chapombe hatakimoja toka aingie madarakani kumbuka adhana ilikuwa ikitolewa SAA 9 nakuendelea lakini sasa nikuanzia SAA 11 alfajiri baada yakuchukuliwa kama kelele lakini mpaka sasa ibada inaendelea kama kawa sasa nyie walevi na wakataviuno fateni sheria muendelee na ibada yenu yakukata viuno na kulewa chakari sheria ifatweRais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Hapo ni mambo mawili tofauti MkuuMkuu sisi hapa Serikali inajali wenye presha kuliko wale walioripotiwa kuwa ni wezi wa matrilioni hivi na huko Uingereza wako hivyo?
Ndio la kushangazaNEMC wanafanya vizuri. Kwani kunywa pombe lazima kuwe na makelele ya muziki?
Hapo ndio balaa sasaKwa mfano kuna mtu alipigwa 7 vipi hapo?
Huko nasikia mtu akiwa hana kitu Serikali inamsaidia ili asife njaa hapa wanajihurumia wenye presha wakati wenye njaa wanashindia mlo mmoja na wengine kufa kwa utapia mlo sugu.Hata huku wanajali zaidi wagonjwa na wazee yaani kwa ujumla wanajali utu
Inanoga vipi? hebu niambie.NEMC wanafanya vizuri. Kwani kunywa pombe lazima kuwe na makelele ya muziki?