Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Namhurumia sana mama yangu ingawa amekubali lakini sasa atapumuaUnajuwa mpaka watu walikimbia nyumba zao kupisha makelele
Ova
Safi sana tena wakaze hapo hapo na wasikubali bakhshish zao za kubrashiaNa wamesema hakuna kufungua Bar bila kulipa pesa yao na wajirekebishe
Hizi Taasisi zikiachwa zifanye kazi bila kuingiliwa na wanasiasa zitafanya kazi vizuri.Safi sana tena wakaze hapo hapo na wasikubali bakhshish zao za kubrashia
Hao hao wanasiasa wengi wao pia wamewekeza hukoHizi Taasisi zikiachwa zifanye kazi bila kuingiliwa na wanasiasa zitafanya kazi vizuri.
Tatizo ni siasa
Ngoja tuone kama watakubali kulipa hizo pesa, maana Wavuvi walikuwa washaanda tamasha la kimya kimya,NEMC wakasema lipa kwanza afu ndo ufungueHao hao wanasiasa wengi wao pia wamewekeza huko
Ukisogea wanasema waziri fulani au mkuu flani
Inabidi sheria ikazwe kote hakuna cha huyu wala huyu wote watii amri na Mama naona anawapa makavu
Safi sanaNgoja tuone kama watakubali kulipa hizo pesa, maana Wavuvi walikuwa washaanda tamasha la kimya kimya,NEMC wakasema lipa kwanza afu ndo ufungue
Si ndo hapo Mkuu!Wanataka nchi iwe kama kongo
Mikelele tu...kila mtu awe mkata mauno
Ova
Agiza kinywaji huko ulipo nakuja kukulipiaMuziki wa Bar katika maeneo ya Makazi ni jambo hatari sana kwa taifa letu. Haiwezekani leseni za Bar sitolewe hovyo kana lilivyo sasa kwa kigezo cha mapato ya Halmashauri. Kuna watanzania wengi wabobezi wanafanya kazi za ushauri na kullipa kodi kuwa kuliko hayo makusanyo ya bar uchwala za maeneo ya makazi. Ni ushamba na uzamani kufikiri kuwa bar ndio zinazochania mapato ya halmahauri. Tunahitaji utulivu na ukimya kwenye maeneo ya makazi. Familia zina wagonjwa, wazee, watoto, wajawazito na hata vijana wanaotaka utulivu wa kufanya mambo tofauti na miziki, na shangwe za makundi ya kushaniglia mipira. Mipango miji wametenga maeneno ya starehe, watu waende huko wakapige makelele wapendavyo. Mimi naunga mkono ukomeshaji makelele katika maeneo ya makazi yakiwemo makelele ya bar, makanisa na hata misikiti.
Kuna mtangazaji mmoja wa wasafi fmSi ndo hapo Mkuu!
Bar bila mziki ni sawa na mke mzuri lakini hazaiHuna hoja.
Bar lazima waweke mziki wa juu?
Kama mnataka muziki wajuu jengeni bar nje ya mji pasipo makazi ya raia.
Wananchi pembezoni mwa bar wanateseka sana.
Katika hili niko na serikali
Walevi acheni ujingaRais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Kwani tumekataa mziki tatizo kelele tu ndio hatutakiBar bila mziki ni sawa na mke mzuri lakini hazai
Uwe na huruma na wakazi wanaozunguka hizo Bar hawalali.Ukifika mikoa ya baridi kama Njombe,Mbeya,Iringa huwezi sikia kelele za Muziki kwa kuwa Bar ziko ndani ya majengo na wanacontrol sound.Shida ipo kwe hii mikoa ya joto.Wako watakaopiga hela sana kwa sasa nao ni wale wasiolalamika bali wanacomply na Sheria.Walalamikaji watabaki kulalama.Kwani bila muziki wa makele bia hazishuki?Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Tena baada ya hapo wapige marufuku makanisa yote yanayokesha na makelele spika wanafungulia hadi mwisho na kuweka flash ya kwaya huku wao wamakwenda kulala na kusumbua wagonjwa na watoto wasisinzie na kupumzika.N
Naunga mkono maamuzi yote ya NEMC! Kelele ni tatizo kwenye makazi ya watu
Waende na wakati!!!!Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!