NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Unajuwa mpaka watu walikimbia nyumba zao kupisha makelele

Ova
Namhurumia sana mama yangu ingawa amekubali lakini sasa atapumua
Nawashukuru sana waliofanikisha zoezi hili

Ila na sisi wapole sana mziki unapigwa ila tunavumilia tu
 
Hizi Taasisi zikiachwa zifanye kazi bila kuingiliwa na wanasiasa zitafanya kazi vizuri.
Tatizo ni siasa
Hao hao wanasiasa wengi wao pia wamewekeza huko
Ukisogea wanasema waziri fulani au mkuu flani

Inabidi sheria ikazwe kote hakuna cha huyu wala huyu wote watii amri na Mama naona anawapa makavu
 
Ngoja tuone kama watakubali kulipa hizo pesa, maana Wavuvi walikuwa washaanda tamasha la kimya kimya,NEMC wakasema lipa kwanza afu ndo ufungue
 
Atafungulia tu baada ya kugundua kuwa pombe ndio zinaingiza Pato kubwa serikalini.
 
Muziki wa Bar katika maeneo ya Makazi ni jambo hatari sana kwa taifa letu. Haiwezekani leseni za Bar sitolewe hovyo kana lilivyo sasa kwa kigezo cha mapato ya Halmashauri. Kuna watanzania wengi wabobezi wanafanya kazi za ushauri na kullipa kodi kuwa kuliko hayo makusanyo ya bar uchwala za maeneo ya makazi. Ni ushamba na uzamani kufikiri kuwa bar ndio zinazochania mapato ya halmahauri. Tunahitaji utulivu na ukimya kwenye maeneo ya makazi. Familia zina wagonjwa, wazee, watoto, wajawazito na hata vijana wanaotaka utulivu wa kufanya mambo tofauti na miziki, na shangwe za makundi ya kushaniglia mipira. Mipango miji wametenga maeneno ya starehe, watu waende huko wakapige makelele wapendavyo. Mimi naunga mkono ukomeshaji makelele katika maeneo ya makazi yakiwemo makelele ya bar, makanisa na hata misikiti.
 
Agiza kinywaji huko ulipo nakuja kukulipia

Ova
 
Si ndo hapo Mkuu!
Kuna mtangazaji mmoja wa wasafi fm
Kafungua pub mitaa ya kinondoni
Ehh kuna siku napita hapo nlikuwa naelekea kwa jamaa mmoja
Anaishi jirani kabisa na hapo
Nkamuliza mnaishiji na makelele mara kigodoro fujo tupu

Ova
 
NEMC wakaze haswa, wakilegeza watazoeleka.
Wakitoka hapo wahamie kwenye makanisa
 
Huna hoja.

Bar lazima waweke mziki wa juu?

Kama mnataka muziki wajuu jengeni bar nje ya mji pasipo makazi ya raia.

Wananchi pembezoni mwa bar wanateseka sana.

Katika hili niko na serikali
Bar bila mziki ni sawa na mke mzuri lakini hazai
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Walevi acheni ujinga
 
Uwe na huruma na wakazi wanaozunguka hizo Bar hawalali.Ukifika mikoa ya baridi kama Njombe,Mbeya,Iringa huwezi sikia kelele za Muziki kwa kuwa Bar ziko ndani ya majengo na wanacontrol sound.Shida ipo kwe hii mikoa ya joto.Wako watakaopiga hela sana kwa sasa nao ni wale wasiolalamika bali wanacomply na Sheria.Walalamikaji watabaki kulalama.Kwani bila muziki wa makele bia hazishuki?
 
N

Naunga mkono maamuzi yote ya NEMC! Kelele ni tatizo kwenye makazi ya watu
Tena baada ya hapo wapige marufuku makanisa yote yanayokesha na makelele spika wanafungulia hadi mwisho na kuweka flash ya kwaya huku wao wamakwenda kulala na kusumbua wagonjwa na watoto wasisinzie na kupumzika.
 
Pombe na miziki ni HARAM, mama samia kama lengo ni kufungia hiki kilevi basi nakuunga mkono kwa asilimia 200%

Bhujiku ng'waka
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Waende na wakati!!!!
Screenshot_20230508_222906_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom