NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Inashangaza unalilia kelele, bar nyingi zimewekwa katikati ya makazi ya watu. Kuna magonjwa yasiyotaka mishtuko, kuna watu kwenye kelele hawalali. Kuna wanafunzi wanahitaji kujisomea.

Mbaya zaidi hizi bar wengine wamewekeana karibu, kwa maana hiyo wanashindana nani muziki wake utasikika zaidi. Wafikirie na watu wengine wanaoishi jirani. Wafanye utaratibu muziki uwe wa wastani usiokera wengine.
Twambie sheria inataka bar zikae wapi? Na kwa sheria hipi? Kwanini imeanza leo? Bar zimeanza kupiga muziki leo?
 
Kuzifungia Cornerpub zetu suo powa kabisa. kafungieni Zanzibar kwenu sisi hapa Bara makelele ni jadi yetu.
 
Adhana ni dakika 3 tu. Haikeri ina burudisha ukiisikiliza. Muadhini anatoa adhana kwa sauti iliyokuwa nzuri kabisa. Adhana ni sauti nzuri kuliko sauti zote duniani 😊
Mziki wa kumsifu Bwana unaopigwa na ndugu zetu Walokole na Makengele ya Wakatoliki pia ni sawa tu hakuna uba wowote.
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya dar…

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Tuko chini ya utawala wa taliban mpaka tutapofanikiwa kuwang'oa 2025
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Si waanze kuwapatia wateja wao headphones? Mbona wabongoa wanashindwa kabisa kujiongeza?
 
Na zile kelele zinazojirudiarudia za vispika vya wamachinga......jiji limejaa makelele kila kona, leo unaenda kufungia baa kweli?
Wapi umeona vispika vya wamachinga vikawashwa usiku?. Mziki wa bar unaweza leta madhara kwa mtu mwenye presha, hasa ile mikito yake na sound effects wanazoweka maDJ
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Ondoa ujuha wako,kwani lazima muweke mziki kwa nguvu mpaka iwe
Kero kwa majirani

Ova
 
mbona kahama tunakula raha mziki mpaka asubuhi.

Kaaeni vzuur na hao NEMC uone kama mtafungiwa
 
Wamemgusa pabaya Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume na Ushimen
 
Kama unapiga mziki jenga jengo ambalo ni sound proof
 
Wapi umeona vispika vya wamachinga vikawashwa usiku?. Mziki wa bar unaweza leta madhara kwa mtu mwenye presha, hasa ile mikito yake na sound effects wanazoweka maDJ
Hivyo vispika vya Wamachinga hata mchana ni kelele tupu, siku ukipata kitu cha kukuweka karibu nacho siku nzima utaelewa vizuri.
 
Bar nyingi zimejengwa karibu na makazi ya watu halafu zinapiga muziki sauti ya juu hiyo sio sawa, mimi pia ni mdau wa Bar ila sikubaliani na hali ya makelele kwenye makazi ya watu, weka soundproof usiaumbue wananchi majirani, ila pia naomba NEMC iende kwenye nyumba za ibada zilizo karibu na makazi ya watu nao waache makelele ama wawe na sound proof kwenye hizo nyumba za ibada.
 
Hapa Dar hata wenyeji huwa wanapiga Ngoma za unyago kuzunguka mitaani kwahiyo makelele ni jadi yetu.
 
NEMC wako sahihi kelele za Nini Kwa watu, waweke sound proof. Yani walevi watupe raia shida ya kelele zao, naomba NEMC waje na kwenye haya makanisa uchwara ya kujiita manabii wanakelele mno
Wapuz sana watu kama hawa

Utakuta nyumba iko kwenye mzkazi

Alafu ni bar basi hayo makelele sasa

Mpaka majirani wanapata kero

Hapo usiku watoto wenyewe kulala

Shida

Ova
 
Back
Top Bottom