Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #41
Twambie sheria inataka bar zikae wapi? Na kwa sheria hipi? Kwanini imeanza leo? Bar zimeanza kupiga muziki leo?Inashangaza unalilia kelele, bar nyingi zimewekwa katikati ya makazi ya watu. Kuna magonjwa yasiyotaka mishtuko, kuna watu kwenye kelele hawalali. Kuna wanafunzi wanahitaji kujisomea.
Mbaya zaidi hizi bar wengine wamewekeana karibu, kwa maana hiyo wanashindana nani muziki wake utasikika zaidi. Wafikirie na watu wengine wanaoishi jirani. Wafanye utaratibu muziki uwe wa wastani usiokera wengine.