NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Kwakweli !! 😅
 
Starehe yako isiwe kero kwa mwingine fullstop!! Watu wanaokaa karibu bar lazima serikali iwatetee!
 
Wewe ni mjinhmga sana, Sehemu za makazi ni sehemu zinahitaji Utulivu,Baa zikawekwe huko katokati ya mji
 
Weee ndio mjuaji uchwarwa
 
Hakuna namna tutakuwa tunasikiliza music kwa earphones 👂.
 
Walianza kubuguzi na kuua Mashoga sasa wamekuja na kufunga Cornerpubs kinachofuatia ni kutufosi kuingia Misikitini.

Kuna haja ya kufungua Umoja wa Atheists Tanganyika.
 
 
Yani NEMC washikilie hapo hapoooo, Nchi imekuwa haina utaratibu hata kidogo, yani milevi inavyolalamika haifikirii kabisa kuhusu wengine, mnajenga Bar kwenye makazi ya watu, mnapiga mziki sauti kubwa, huwezi kulala, huwezi kusoma, kama una mgonjwa au unaumwa suala la kupumzika sahau.
 
Kumbuka sisi walevi ndio hao watu na mziki tunaupenda na ukipigwa kwa sauti ndio gambe linakolea.
Hapa Kasumbalesa burudani 24hrs
Bongo watu wivu sana...

Mbinguni ni KUIMBA TU na Malaika....na matarumbeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…