imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nenda kajenge porini kama unataka ukimya.Starehe yako isiwe kero kwa wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kajenge porini kama unataka ukimya.Starehe yako isiwe kero kwa wengine
Kwakweli !! 😅Ngoja nami nifungue yangu, mchana namwambia DJ anaweka playlist ya nyimbo za RNB kwa sauti ya Wastani.
Jioni hadi saa 6 usiku ni nyimbo mchanganyiko amapiano, bongoflavour, Nyimbo za Kilingala n.k
Alafu kila siku naweka Ofa kwa Afisa wa Nemc kuja kupata Msosi pamoja na Vinywaji kwa Bill zangu. Nione kama itafungwa hiyo Bar 🤗🙌🏃🏃🏃
Ear plugs tu unalala usingizi wa pono.lakini sauti kubwa hakuna namna ya kutoisikia
Starehe yako isiwe kero kwa mwingine fullstop!! Watu wanaokaa karibu bar lazima serikali iwatetee!Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Duh !Tuko chini ya utawala wa taliban mpaka tutapofanikiwa kuwang'oa 2025
Wewe ni mjinhmga sana, Sehemu za makazi ni sehemu zinahitaji Utulivu,Baa zikawekwe huko katokati ya mjiRais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Weee ndio mjuaji uchwarwaNchi ina wajuaji wengi wanaonuka umasikini na wivu wa kutosha.
Wasichojua tunategemeana sana...
Unafunga bar Lakin TRA wanadai VAT returns ya 18% bado SDL na Takataka kibao...
Kelele kwa baa hapana., ila kwa maspika ya makanisa sawa..
Nchi ina mamlaka zaid ya 40 na zote zinasimamia kitu kimoja.
Hapo sasa ndipo tatizo lilipoanzia !!Wanaotoa vibali vya hzo bar nao wana makosa kama eneo ni residential unatoaje kibali cha bar na lounge??
Wala sio mama ni sheria ndivyo inavyotaka iwe hivyo !Hii swafiiii sana mama!
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Hapa Kasumbalesa burudani 24hrsKumbuka sisi walevi ndio hao watu na mziki tunaupenda na ukipigwa kwa sauti ndio gambe linakolea.
Kwa hawa maafisa wenye madeni lukuki huko Benki hawawezi kataa Ofa yangu 😅Kwakweli !! 😅
Jitahidi usiwe mpumbavu