Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wako wa kufikiri uko chini ya kiwango.Twambie sheria inataka bar zikae wapi? Na kwa sheria hipi? Kwanini imeanza leo? Bar zimeanza kupiga muziki leo?
Alafu eti wanaiua sanaaBro nchi ina watu wa ajabu, hawapendi utaratibu wala sheria...go NEMC
Wanaotoa vibali vya hzo bar nao wana makosa kama eneo ni residential unatoaje kibali cha bar na lounge??Wapuz sana watu kama hawa
Utakuta nyumba iko kwenye mzkazi
Alafu ni bar basi hayo makelele sasa
Mpaka majirani wanapata kero
Hapo usiku watoto wenyewe kulala
Shida
Ova
Starehe zako isiwe kero kwa watu wengine! Unapokwenda bar unakwenda kupata kinywaji iwe kikali au baridi, muziki ni ziada. Na muziki siyo kelele bali burudani.Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya dar…
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Haya ndio matokeo ya nchi kutokupanga ardhi.Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Kumbuka sisi walevi ndio hao watu na mziki tunaupenda na ukipigwa kwa sauti ndio gambe linakolea.zimejengwa karibu na makazi ya watu
Starehe yako isiwe kero kwa wengineKumbuka sisi walevi ndio hao watu na mziki tunaupenda na ukipigwa kwa sauti ndio gambe linakolea.
Naomba NEMC waendelee kukaza hivo hivo hii kitu ni kero sana imagine umechoka unatafta usingizi ukiupata kelele zinaanza ukichangia na hizi stress unakesha.Wapuz sana watu kama hawa
Utakuta nyumba iko kwenye mzkazi
Alafu ni bar basi hayo makelele sasa
Mpaka majirani wanapata kero
Hapo usiku watoto wenyewe kulala
Shida
Ova
Mleta mada anasema eti wanaiua sanaaNaomba NEMC waendelee kukaza hivo hivo hii kitu ni kero sana imagine umechoka unatafta usingizi ukiupata kelele zinaanza ukichangia na hizi stress unakesha.
[emoji2][emoji2] itakuwa Sanaa labda ya noice pollution hyoMleta mada anasema eti wanaiua sanaa
Ningependa jua sanaa gani hiyo
Ova
Itakuwa uzembe na rushwa tu.Wanaotoa vibali vya hzo bar nao wana makosa kama eneo ni residential unatoaje kibali cha bar na lounge??
😀 😀 😀 😀 😀 sanaa ya kupiga kelele na Amapiano za SA.Mleta mada anasema eti wanaiua sanaa
Ningependa jua sanaa gani hiyo
Ova
Na yale makelele ya makanisani na msikitini pia yapigwe marufukuUnakomaa kutetea ulevi. Pombe haram, mziki haram Bar zifungwe tu sioni faida yake zaidi ya kuleta hasara na mmomonyoko wa maadili
Unaweza ukafumba macho au ukaangalia pembeni lakini sauti kubwa hakuna namna ya kutoisikia 😅 zipo Bar zingine usiku kucha ni mziki mzito na ukipita Asubuhi pale mtaani itabidi upandishe suruali maana mikojo imejaa barabarani utadhani mvua ilinyesha usiku 😂😂 Hatar sana !!Sisi pia tuna allergy na mabango ya kizushi tunayolazimishwa kuyasoma kila siku stress na pressure zinatupanda.
Wapi umeona vispika vya wamachinga vikawashwa usiku?. Mziki wa bar unaweza leta madhara kwa mtu mwenye presha, hasa ile mikito yake na sound effects wanazoweka maDJ
Kaka siamini imani hiyo kwagu ni makelele tu,hata wewe ikipigwa kengele za kanisani zitakupigia keleleAdhana ni muito wa ibada. Hata wewe inakuhusu adhana na ungeifurahia kama ungejua tafsiri ya maneno yanayotamkwa. Karibu kwenye uislam