NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Nikiona utetezi wa aina yeyote una "mnataka tukale wapi" nakuwa na wasiwasi nao. Sheria za mazingira si unazijua? Jitetee kwa kutumia sheria badala ya kutia huruma, badala ya kusema wanaua biashara zenu ambavyo ni accusation jiulize kama umezingatia sheria za NEMC na jitetee kisheria kama umekidhi vigezo vya kutoa huduma.

Kifungu fulani cha mwaka fulani kinataka bar iwe mita kadhaa nje ya makazi ya watu, na umetimiza.
Au ukiwa kwenye makazi ya watu upige mziki chini ya decibel ngapi, na umetimiza.

Mambo ya nitakula wapi nami naweza kuja kufungua dampo la kukodisha hapo pembeni ya bar yako likatoa harufu kali kisha niwalilie NEMC wasifunge maana nitakula wapi. Kuna sheria na huruma, inashangaza wabongo tunakimbilia huruma tunaacha sheria
Umefunga Mjadala mkuu.
 
Hivi kweli miziki yao ya kampeni inazingatiaga hivyo vigezo?
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Wewe ni Lilian Ngumbo, mmiliki wa kimiminika bar,tuliza ball,Mzee Gumbo hana nguvu tena
 
Ume Nena kwa uchungu Hapo wame gusa pabaya mkuu

tulia kidogo pumua futa na jasho tusubiri majibu pole eeh
 
Back
Top Bottom