Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Watu waogawaoga hawatakuelewaMkuu msikilize waziri kwa makini, marehemu hakuvunja sheria yeyote ile,nchi zote duniani huwezi kujiunga na majeshi yao kama sio RAIA,ni uvunjaji wa sheria kujiunga na jeshi la NCHI, marehemu hakua mpiganaji wa jeshi la Russia [emoji635], kujiunga kama professional fighter kwenye vikundi vya kipiganaji sio shida, huyu marehemu alikula ajira kama wewe unaenda kujiunga na Doctors without borders, yeye akajiunga na kupata ajira na kikundi kile, kwenye first world hawa makampuni yapo kisheria, mapinduzi yaliyokua yafanyike ushelisheli yaliongozwa na kikundi kama hiki, mpaka leo bado wana ofisi yao pale NW,SA
Used&dumped..Hakuna ushujaa kwenye hili. He was used
Mkuu msikilize waziri kwa makini, marehemu hakuvunja sheria yeyote ile,nchi zote duniani huwezi kujiunga na majeshi yao kama sio RAIA,ni uvunjaji wa sheria kujiunga na jeshi la NCHI, marehemu hakua mpiganaji wa jeshi la Russia [emoji635], kujiunga kama professional fighter kwenye vikundi vya kipiganaji sio shida, huyu marehemu alikula ajira kama wewe unaenda kujiunga na Doctors without borders, yeye akajiunga na kupata ajira na kikundi kile, kwenye first world hawa makampuni yapo kisheria, mapinduzi yaliyokua yafanyike ushelisheli yaliongozwa na kikundi kama hiki, mpaka leo bado wana ofisi yao pale NW,SA
Je alivunja sheria?,ndio mada inayojadiliwa hapaHakujiunga kwa ajili ya ajira, alijiunga ili akimaliza muda wake asirudi gerezani. So hii ilikuwa his way out
Uzuzu wa middle class wa kitanzania ninauelewa, wengi ni mashujaa wa kulalama humu na viajira uchwara na kusubiria watu wawapiganie, Marehemu he took his chance, na haikua kama alivyotegemea,kama una uoga to take risks kwenye maisha, your going to die trying!Watu waogawaoga hawatakuelewa
Wewe zanzbar?????Wakati babu zako wametokea tanganyika!!!!!Au ndio kitwana wa waarabu wa omani!!!!!Hzbu bhana mna matatizo sana ndio maana sheikh karume aliwashughulikiaSisi Zanzibar tumepoteza kwa maelfu wakati wa Uvamizi wa Nyerere na kila uchaguzi ukifika tunapoteza watu . Wacha na nyinyi muonje joto la Jiwe . Karma inafanya kazi
Huogopi risks kaka????Njoo nikupe michongo then you can took ur chance broUzuzu wa middle class wa kitanzania ninauelewa, wengi ni mashujaa wa kulalama humu na viajira uchwara na kusubiria watu wawapiganie, Marehemu he took his chance, na haikua kama alivyotegemea,kama una uoga to take risks kwenye maisha, your going to die trying!
Umejuaje? Labda mgazija Au mburushi Au kutoka oman kama wakina marehem maarim, wakina jusa, wakina mazrui nkWewe zanzbar?????Wakati babu zako wametokea tanganyika!!!!!Au ndio kitwana wa waarabu wa omani!!!!!Hzbu bhana mna matatizo sana ndio maana sheikh karume aliwashughulikia
Nkanini, anakula pesheni sasa huku lingusenguse, ameshajilipua sana viwanja!Huogopi risks kaka????Njoo nikupe michongo then you can took ur chance bro
Huyo chotara wa kiarabu kama hao wangazija na waburushi babu zake walikua hizbu!!!!Tulichukua ardhi yetu na mali zetu na kuwaondoa walowezi wa kiarabu ndio maana kanuna kuhusu mapinduzi matukufu ya mwaka 1964Umejuaje? Labda mgazija Au mburushi Au kutoka oman kama wakina marehem maarim, wakina jusa, wakina mazrui nk
Njoo tena kaka nikupe mchongo usiogope riskNkanini, anakula pesheni sasa huku lingusenguse, ameshajilipua sana viwanja!