Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Maisha yamekuwa magumu.

Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao.

Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.

Mwili wa Nemes Tarimo.jpg
 
Mkuu msikilize waziri kwa makini, marehemu hakuvunja sheria yeyote ile,nchi zote duniani huwezi kujiunga na majeshi yao kama sio RAIA,ni uvunjaji wa sheria kujiunga na jeshi la NCHI, marehemu hakua mpiganaji wa jeshi la Russia 🇷🇺, kujiunga kama professional fighter kwenye vikundi vya kipiganaji sio shida, huyu marehemu alikula ajira kama wewe unaenda kujiunga na Doctors without borders, yeye akajiunga na kupata ajira na kikundi kile, kwenye first world hawa makampuni yapo kisheria, mapinduzi yaliyokua yafanyike ushelisheli yaliongozwa na kikundi kama hiki, mpaka leo bado wana ofisi yao pale NW, SA
 
Mkuu msikilize waziri kwa makini, marehemu hakuvunja sheria yeyote ile,nchi zote duniani huwezi kujiunga na majeshi yao kama sio RAIA,ni uvunjaji wa sheria kujiunga na jeshi la NCHI, marehemu hakua mpiganaji wa jeshi la Russia [emoji635], kujiunga kama professional fighter kwenye vikundi vya kipiganaji sio shida, huyu marehemu alikula ajira kama wewe unaenda kujiunga na Doctors without borders, yeye akajiunga na kupata ajira na kikundi kile, kwenye first world hawa makampuni yapo kisheria, mapinduzi yaliyokua yafanyike ushelisheli yaliongozwa na kikundi kama hiki, mpaka leo bado wana ofisi yao pale NW,SA
Watu waogawaoga hawatakuelewa
 
Hakujiunga kwa ajili ya ajira, alijiunga ili akimaliza muda wake asirudi gerezani. So hii ilikuwa his way out
 
Watu waogawaoga hawatakuelewa
Uzuzu wa middle class wa kitanzania ninauelewa, wengi ni mashujaa wa kulalama humu na viajira uchwara na kusubiria watu wawapiganie, Marehemu he took his chance, na haikua kama alivyotegemea,kama una uoga to take risks kwenye maisha, your going to die trying!
 
Sheria ilivunjwa kama alivyo Eleza mh waziri
 
Sisi Zanzibar tumepoteza kwa maelfu wakati wa Uvamizi wa Nyerere na kila uchaguzi ukifika tunapoteza watu . Wacha na nyinyi muonje joto la Jiwe . Karma inafanya kazi
Wewe zanzbar?????Wakati babu zako wametokea tanganyika!!!!!Au ndio kitwana wa waarabu wa omani!!!!!Hzbu bhana mna matatizo sana ndio maana sheikh karume aliwashughulikia
 
Ila jamaa alikuwa mbabaishaji sana

Ukienda kwa milad ayo ana miaka 34

Ukienda the chanzo wana sema amezaliwa 1990

Leo familia wana mzika akiwa na tarehe tofauti 1984

Hatari sana...
 
Uzuzu wa middle class wa kitanzania ninauelewa, wengi ni mashujaa wa kulalama humu na viajira uchwara na kusubiria watu wawapiganie, Marehemu he took his chance, na haikua kama alivyotegemea,kama una uoga to take risks kwenye maisha, your going to die trying!
Huogopi risks kaka????Njoo nikupe michongo then you can took ur chance bro
 
Wewe zanzbar?????Wakati babu zako wametokea tanganyika!!!!!Au ndio kitwana wa waarabu wa omani!!!!!Hzbu bhana mna matatizo sana ndio maana sheikh karume aliwashughulikia
Umejuaje? Labda mgazija Au mburushi Au kutoka oman kama wakina marehem maarim, wakina jusa, wakina mazrui nk
 
Umejuaje? Labda mgazija Au mburushi Au kutoka oman kama wakina marehem maarim, wakina jusa, wakina mazrui nk
Huyo chotara wa kiarabu kama hao wangazija na waburushi babu zake walikua hizbu!!!!Tulichukua ardhi yetu na mali zetu na kuwaondoa walowezi wa kiarabu ndio maana kanuna kuhusu mapinduzi matukufu ya mwaka 1964
 
Back
Top Bottom