Kisiwandui na hali hii bei ya maharagwe ni ghali kuliko nyama au zinashindana. Haya ndiyo martunda ya Mapinduzi na MuunganoKaka vipi ushaenda oman au bado!!!!!Karibu kisiwandui ASP tupo kaka hata hizbu mnakaribishwa
Naam, Sawa kabisa Umemaliza kila kitu, hili nyama CCM , jinamizi hili ni janga kubwa kwa nchi zetu, Tanganyika na ZanzibarCcm ni janga kwa Watanzania. Full stop
Kaka bado una uchungu tu kwa kua tuliwaondoa hizbu na machotara wa kiarabu!!!Karibu ASP na ule matunda ya mapinduzi na SMZKisiwandui na hali hii bei ya maharagwe ni ghali kuliko nyama au zinashindana. Haya ndiyo martunda ya Mapinduzi na Muungano
Hajavunja sheria kwakuwa hakujiunga na jeshi la Russia bali ni kikundi cha mamluki.Sheria ilivunjwa kama alivyo Eleza mh waziri
Si mpo nyinyi Wazanzibara mnayaweka maisha ya watu vizuri kwa hali hii ya mlo mmoja wa siku mbili au tatu ? Au vipi ?Kaka bado una uchungu tu kwa kua tuliwaondoa hizbu na machotara wa kiarabu!!!Karibu ASP na ule matunda ya mapinduzi na SMZ
Ni bora angefia kiunoni ndipo angeonekana shujaa, eti ehhHakuna ushujaa kwenye hili. He was used
Mbona unaleta mambo ya mashoga? Afie kiunoni loooooo!!Ni bora angefia kiunoni ndipo angeonekana shujaa, eti ehh
Warusi walitaka kuficha waliposikia kelele kwa ndugu ikabidi watoke hadharani...wanaua watu kwa kuwapeleka kikosini bila mafunzo yeyote mbaya sana jamaa kafa kwa maumivu sana yaani kahukumiwa jela baadae wanasema nenda kapigane ili utoke ukikataa au kukimbia unauawa kazi sana...Kumbe alifariki tangia mwezi wa 10?
Sheikh ukoo wako ulitokea wapi????Huku bara au ulitokea Oman??Si mpo nyinyi Wazanzibara mnayaweka maisha ya watu vizuri kwa hali hii ya mlo mmoja wa siku mbili au tatu ? Au vipi ?
Kidumu chama cha mapinduzi ASP&TANU!!!!!Na mapinduzi matukufu ya ZanzibarNaam, Sawa kabisa Umemaliza kila kitu, hili nyama CCM , jinamizi hili ni janga kubwa kwa nchi zetu, Tanganyika na Zanzibar
Na kinadumu maana mnakulana wenyewe kwa wenyewe Kama mazimwi πππKidumu chama cha mapinduzi ASP&TANU!!!!!Na mapinduzi matukufu ya Zanzibar
Sawa mdogo wangu Nikutakie siku njemaNa kinadumu maana mnakulana wenyewe kwa wenyewe Kama mazimwi πππ
Ulitokea Chato πππSheikh ukoo wako ulitokea wapi????Huku bara au ulitokea Oman??
Sijakuelewa mdogo wangu???Ulitokea Chato πππ
Chato huijui ?Sijakuelewa mdogo wangu???
Tuombe hii elimu na pesa ziwafikie kweli walengwa na usiwe upigaji kama kwenye mipango na pesa za kuwasaidia wavuvi.Na apa nampongeza sana Raisi wangu Mama Samia kwa kuliona hilo kwa kuanzisha program za kilimo kwa Vijana wa kitanzania, kiasi kwamba kila kijana atapewa Elimu ya awali ya namma ya kumiliki Shamba pamoja na uwezesho wa kimtaji na pembejeo, kwa Ajili ya kilimo chenye tija kwa taifa letu.
Hongera sana Mh Raisi