Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Kaka vipi ushaenda oman au bado!!!!!Karibu kisiwandui ASP tupo kaka hata hizbu mnakaribishwa
Kisiwandui na hali hii bei ya maharagwe ni ghali kuliko nyama au zinashindana. Haya ndiyo martunda ya Mapinduzi na Muungano
 
Kisiwandui na hali hii bei ya maharagwe ni ghali kuliko nyama au zinashindana. Haya ndiyo martunda ya Mapinduzi na Muungano
Kaka bado una uchungu tu kwa kua tuliwaondoa hizbu na machotara wa kiarabu!!!Karibu ASP na ule matunda ya mapinduzi na SMZ
 
Kaka bado una uchungu tu kwa kua tuliwaondoa hizbu na machotara wa kiarabu!!!Karibu ASP na ule matunda ya mapinduzi na SMZ
Si mpo nyinyi Wazanzibara mnayaweka maisha ya watu vizuri kwa hali hii ya mlo mmoja wa siku mbili au tatu ? Au vipi ?
 
Ila ujue matajiri wengi wao ni wavunjaji wakubwa wa sheria za nchi. Tarimo alivunja sheria kifalsafa. Angefanyaje? Kuna Mtanzania aliyemwibia? Mwamba nenda kapumzike salama, ulipigana ila basi tu.
 
Kumbe alifariki tangia mwezi wa 10?
Warusi walitaka kuficha waliposikia kelele kwa ndugu ikabidi watoke hadharani...wanaua watu kwa kuwapeleka kikosini bila mafunzo yeyote mbaya sana jamaa kafa kwa maumivu sana yaani kahukumiwa jela baadae wanasema nenda kapigane ili utoke ukikataa au kukimbia unauawa kazi sana...
 
Huyo Tarimo angekua Raia wa nchi zinazojitambua hapo pasingetosha...sema Nchi masikini ni Nchi masikini tuu omba omba inakufanyq usiongee chochote au kuhoji yaani Balozi hana taarifa Raia wake kuingia kwenye Vita maana hawanjulishi wanajua hata akijua hawawezi kufanya kitu...
 
Alipiga hesabu kukaa gerezani miaka 9 na kwenda kupigana kipi bora, akaona akajaribu nafasi yake. Lakin bahati haikuwa yake
 
Na apa nampongeza sana Raisi wangu Mama Samia kwa kuliona hilo kwa kuanzisha program za kilimo kwa Vijana wa kitanzania, kiasi kwamba kila kijana atapewa Elimu ya awali ya namma ya kumiliki Shamba pamoja na uwezesho wa kimtaji na pembejeo, kwa Ajili ya kilimo chenye tija kwa taifa letu.
Hongera sana Mh Raisi
Tuombe hii elimu na pesa ziwafikie kweli walengwa na usiwe upigaji kama kwenye mipango na pesa za kuwasaidia wavuvi.

Maneno matupu hayatoshi.
 
Yaani mtu kafungwa then kaamua kwenda kupigana ili awe huru alafu serikali ya kipuuzi inakuja kuongea ushenzi na utumbo .

Damn
 
Back
Top Bottom