Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Hujasahau kusema hata ubambikiaji, na kuvuruga biashara na bustani kusingefanikiwa na kuupora ubunge wa mtu.
Tulieni na gaidi wenu afungwe sasa
 
Wanaomtetea Sabaya akili zao vipi
 
We huna akili Sabaya ni jambazi kama ni shemeji yako ndogo ujue.


Hata waliofungwa nao yapo maziluri walofanya,FICHA ujinga wako.

Ni watu wangapi kawatesa ,Familia ngapi kazisababishia kuishi maisha ya uyatima?
 
Punguza Bangi....Mahakama imetamka Sabaya ni Jambazi wa kutumia Silaha na haki yake ni 30 miaka...

Hakuna mfungwa wa Kisiasa anayeitwa Sabaya... Dada angu tendeni Haki namtakuwa Huru!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umemithi dyudyu ya sabaya
 
Ila kalivyonyolewa kamekuwa kazuri.Hayo mema aliyoyafanya ilikuwa ni kufunika akili zenu kama zilivyofunikwa sasa ili baya lolote mkilisikia muone sawa tu,kama mwendazake alivyofunika akili za watanzania kwa kumtaja Mungu kila wakati.HAKIKA KUFA KWAKE YESU SISI TUMEPONA.Ha ha haaa mtasaga meno wakati wengine tuliozoea shida...walaaa
 

Magereza msiende kumpa cheo cha unyampala huyo JAMBAZI SUGU SABAYA
 
Bila Sabaya mbunge wa ccm angemshinda Mbowe?
Achana na Watu wanaotumia mihemko kujibu hojja.
Kulikuwa na wale MaTycooon wenye Viwanda vya pessa Bandia wanafyatua noti za Tanzania Shilling Billions of Money. Polisi walikuwa wamewekwa mfukoni na hao jamaa. Lkn Ole Sabaya alikamata mnyororo wooooote leo Noti bandia hapa Tanzania imekuwa adimu.
Somtime hata Shetani ana mazuri yake. Sabaya is a Gentleman ayseee tumuombee heri kwa mabaya yake na tumsifu kwa Ujasiri wa mazuri yake.
 
Na wews jiandae mtafungwa wote mliokuwa mnawapora wananchi mali zao kwa kutumia mamlaka mlizopewa.
 
Tumepiga mbali next move tunapiga mtoto wa baba kisha tunaingia nyumbani chato mtapenda mziki huu.
 
Na Sabaya atarudi kuwa kiongozi tena
 
Tulieni na gaidi wenu afungwe sasa


Kwa jinsi mwenendo wa kesi unavyoenda kwa mtu mwenye kufuatilia namna upande wa mashitaka mashahidi walivyotoa ushahidi wao na kuhojiwa ni wazi hicho ulichoandika hakitakuwepo kamwe.

Labda yaibuke mapya .

Iwapo haki haitatendeka Mwenyezi Mungu ataingilia kati.

Mwenyezi Mungu ndie mwenye kushikilia hatima ya kila mwanadamu.

Kulikuwa na Viongozi walojiona miamba wako wapi sasa?! [emoji2369][emoji2369]

Tumuogope sana Mwenyezi Mungu kwa kutendeana yaliyo ya haki .

Mungu hupendezwa na haki na huchukizwa sana na udhalimu pamoja na dhuluma.
 
Yooote hayo yalifanyika kwa dhuluma na kuumiza watu.
Kuuvunja mnyororo wa utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia unategemea watu wasiumie hasa wale waliokuwa washika dau wa mnyororo!!!? Amka kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…