Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaomtetea Sabaya akili zao vipiYaani anaokoteza okoteza vijihabari kama anayejisaidia vichakani na kuleta hapa.
Najiuliza kwa nini wanao mtetea Sabaya uwezo wao wa akili uko chini sana?
Maana kama ni uchama mbona ndani ya CCM wenye akili wakiwamo viongozi wa juu walikasirishwa kabisa na tuhuma hizo?
Huyu lazima alikuwa chawa wa sabaya na sasa hana tumaini tena. Amerukwa na akili.Wewe ni miongoni mwa watu wajinga sana kuwahi tokea katika nchi hii
We huna akili Sabaya ni jambazi kama ni shemeji yako ndogo ujue.Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa na ukwepaji kodi.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Umemithi dyudyu ya sabayaNi kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa na ukwepaji kodi.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Kama wewe ndiye mtoa hukumu na hata hivyo hapa tayari una hukumu Yako ya mfukoni na ya mapemaTulieni na gaidi wenu afungwe sasa
Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa na ukwepaji kodi.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Achana na Watu wanaotumia mihemko kujibu hojja.Bila Sabaya mbunge wa ccm angemshinda Mbowe?
Tumepiga mbali next move tunapiga mtoto wa baba kisha tunaingia nyumbani chato mtapenda mziki huu.Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa na ukwepaji kodi.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Na Sabaya atarudi kuwa kiongozi tenaAchana na Watu wanaotumia mihemko kujibu hojja.
Kulikuwa na wale MaTycooon wenye Viwanda vya pessa Bandia wanafyatua noti za Tanzania Shilling Billions of Money. Polisi walikuwa wamewekwa mfukoni na hao jamaa. Lkn Ole Sabaya alikamata mnyororo wooooote leo Noti bandia hapa Tanzania imekuwa adimu.
Somtime hata Shetani ana mazuri yake. Sabaya is a Gentleman ayseee tumuombee heri kwa mabaya yake na tumsifu kwa Ujasiri wa mazuri yake.
Tulieni na gaidi wenu afungwe sasa
Kuuvunja mnyororo wa utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia unategemea watu wasiumie hasa wale waliokuwa washika dau wa mnyororo!!!? Amka kumekucha.Yooote hayo yalifanyika kwa dhuluma na kuumiza watu.