Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Bila Sabaya mbunge wa ccm angemshinda Mbowe?
Mkuuu si mkakate Rufaa kama hamjarudhika mbona hilo linawezekana msibaki kulalamika huku,Haki kama ipo itatendeka kwake hata kama kwa kuchelewa,kuliko kuleta maada za kusema kaonewa onhooo mara nini
 
Nahisi umeandika kwa kuangalia Chama cha ccm amekifanyia nini Sabaya sio nini sabaya kawafanyia Watanzania na alikua anawafanyia nini..ki ukweli kwa Ccm Sabaya kafanya kazi kubwa lakini sio kwa kufuata Sheria za Nchi Mkuu..
Na ninashangaaa sana unafurahi Hai kua Chini ya ccm kumbe lengo lenu kuongoza kila kitu hata kwa kuvunja sheria za Nchi?? So kwa kua Sabaya kawasaidia kuipata Hai kwa Njia Hatari Ndio mnataka apewe adhabu gani au apandishwe Cheo?
 
Rekebisha hapo kwenye ufungwa wa kisiasa,Sabaya sio mfungwa wa kisiasa Sabaya ni mfungwa wa kijinai amefungwa kwa kosa la ujambazi hivyo Sabaya ni jambazi.
Halafu sio sahihi kuhalalisha uhalifu kwa kigezo cha CCM kushinda ubunge au nafasi yoyote katika eneo husika.
 
Na gaidi nae
 
Ushauri wa bure..nenda kisongo gerezani..Kwa sabaya..vua nguo zako zote..inama..sabaya achukue jiti akuchokonoe huko nyuma..na jiti..ukitoka hapo uanze kumpambania vizuri bwana ako

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
ye mwenyew amekiri tuhuma dhidi yake ila akajitetea kuwa alitumwa na mamlaka ya uteuzi, sasa turudi kwe sheria zetu na hata sheria za nchi yoyote ile dunian ukitumwa na mamlaka iliyokuteua kutenda jinai nawe ukatenda unakuwa umetenda kosa au lah? umeandika tu kwa hisia mkuu haiwezekan mtu akiri tuhuma zake then we useme anaonewa,
 
Kinuju The Fool!! Kwa hiyo unajaribu kusifia faulo za Sabaya kama sababu za CCM kushinda? Huoni hapa unatufunulia hilo fuvu halafu ndani kumejaa kinyesi!!??

Hata hila huzaa matunda chanya - umetuonesha na hata hujui kama umefanya hivi.
huyo jamaa empty kabisa, hata mtoto wa primary asingeandika alichoandika yeye
 
Ww ni kima
 
Ushauri wa bure..nenda kisongo gerezani..Kwa sabaya..vua nguo zako zote..inama..sabaya achukue jiti akuchokonoe huko nyuma..na jiti..ukitoka hapo uanze kumpambania vizuri bwana ako

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Gaidi ndiyo ataenda kisongo ili wakalale wote
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jambazi mwenzio yuko kisongo tuliza kijambio dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…