Nenda Wicknell Chivayo, mpaka sasa raia hatujui ulikuwa umewekeza nini Tanzania

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekeza na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.

Uwe unafuatilia mambo ya msingi ndio utaelewa

View: https://www.instagram.com/p/DaD5fXuj0cb/?stkn=bDBmZW90ZnJuazJw
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekeza na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Longolongo na sengereti ,haujaona wamasai walifukuzwa na kwenda kujengewa nyumba Tanga?
 
Hata AI inajua kuwa Makebo ni matako ila ukiuliza kuwa mwamba alikuwa na uwekezaji gani inabaki kukuangalia tu

Chizi Maarifa
Beira Boy
Frank Wanjiru
secretarybird
The Worst
177501.jpg
 
Hakuna uwekezaji hapo huyu hushirikiana na serikali za wezi kupora rasilimali za nchi za kiafrika.hawa hununua Vitalu kuua wanyama wetu na kusafirishwa nje ya nchi kwa kushirikiana na wezi wengine wa Afrika .jpm ujinga huu hakuitaja kuusikia kabisa masikioni mwake.
Rais Samia anatuuza
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekeza na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Mama Samia na Katibu Mkuu Serikalini wanajua, ulisa hao!
 
Back
Top Bottom