Nenda Wicknell Chivayo, mpaka sasa raia hatujui ulikuwa umewekeza nini Tanzania

Nenda Wicknell Chivayo, mpaka sasa raia hatujui ulikuwa umewekeza nini Tanzania

Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Watu mnatafuta kukosa radio bure! Mmesha ambiwa ukimkuta mtu kavaa kanga au Taylor la mama yako jua ni baba yako huyo! Mambo ya kuhoji hoji huyo ni nani utakula radhi nzito uokote makopo shauri yako! Nakuonya ndugu yangu.
 
Wapi huko wenye ujinga kama huu
 
Mwekezaji kutoka Taifa lililofirisika Ki Uchumi!!!!!!?
 
Back
Top Bottom