Uwe unafuatilia mambo ya msingi ndio utaelewa
View: https://www.instagram.com/p/DaD5fXuj0cb/?stkn=bDBmZW90ZnJuazJw
Porojo zipi Sasa? Wewe unadhani misele yake ilikuwa ya nini huko ikulu? Harafu amekuja mara 2,Dangote mara 2 Sasa hiyo Mingi ni ipi?Hizo ni porojo tu baada ya maswali kuwa mengi kuhusu misele yake ikulu.
Amemwaga Sana Mpunga kama haujakufikia basi tenaRaia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Wewe ndiyo una majibu ya kweli. Tena wakati mwingine alionekana kuja pasipo taarifa rasmi. Ushahidi ni kupitia baadhi ya picha za mwenyeji wake.Kwa hiyo wewe unadhani alikuja ikulu kufuata nini?
“Mama Samia” Siyo sahihi…Mama Samia na Katibu Mkuu Serikalini wanajua, ulisa hao!
Huyu alikuwa mgeni binafsi tu wa Samia.Uwekezaji wa kuzurura ikulu
Umesema.Fixer and cleaner
Upendo.Kwa hiyo wewe unadhani alikuja ikulu kufuata nini?
Kwa mujibu wa Mwandishi Paschal Mayala,hiyo ziara aliyotambulishwa kama muwekezaji ni ya 7 kukutana na Rais ikulu.Porojo zipi Sasa? Wewe unadhani misele yake ilikuwa ya nini huko ikulu? Harafu amekuja mara 2,Dangote mara 2 Sasa hiyo Mingi ni ipi?
Hilo nalo neno!Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
😂😂😂Tuelezee bro, mi nliona tu kakaa ikulu kama kakaa geto na kumbato juu.
Alifata nini kwani