Nenda Wicknell Chivayo, mpaka sasa raia hatujui ulikuwa umewekeza nini Tanzania

Jamaa uwekezaji wake hata haueleweki yanaeleweka matumizi tu
Wewe. Alikuwa muwekaji mkubwa hapa Tanzania. Aliingiza Pato na likaingia kabisa. Kwenye utalii, amelitangaza vizuri vazi la khanga.
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Ukiuliza ujinga kama wa uyu japo amekufa haujitendei haki ,kafa acha apambane na malipo yake huko ,malipo ni hapa Duniani
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
alikua anakuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na First man
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Kweli hii dunia ni mazingaombwe, wakati wa uhai wake jamaa alipendwa na marafiki zake maraisi wa nchi za Afrika, alipiga nao picha kwa uwazi, kwenye mahekalu, wengine wakimwendesha kwenye mabenzi, ajabu kwenye mazishi yake ni kama wamesusia na hata waliokwenda wameenda kimya kimya kwa siri wasijulikane kwa umma kwamba wameenda kumzika rafiki yao, hakika ''binadamu si watu wema'' alipata kuimba mwananmuziki mmoja maarufu ndugu Bitchuka.
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Ngoja nikwambie jambo.
Ukijuwa utaogopa sana!

Siku hizi watu tunayachukulia maswala mengi nyeti juu juu tu, bila ya kutaka kujuwa uhalisia wake ulivyo.

Huyu Bwanamdogo alikuwa ni kiungo katika mipangilio ya wakubwa.
Sasa sisi badala ya kudadisi kwa undani wake, tunaishia kuona maruerue tu ya kimzahamzaha aliyohusika nayo wakati akitimiza kazi zake alizotumwa na wakubwa kuzitimza.

Sitashangaa kama umauti wake hauhusiani na hiyo kazi aliyokuwa akifanya..
 
kwa uwazi, kwenye mahekalu, wengine wakimwendesha kwenye mabenzi, ajabu kwenye mazishi yake ni kama wamesusia na hata waliokwenda wameenda kimya kimya kwa siri wasijulikane kwa umma kwamba wameenda kumzika rafiki yao,
Hili pekee lingekupa dokezo la kujuwa huo "urafiki" unaouzungumzia hapa siyo urafiki kama unavyojulikana kwa wengi.
Huyo mtu alikuwa na kazi maalum na/juu ya hao unaowatambua kuwa ni marafiki zake.
 
Ngoja nikwambie jambo.
Ukijuwa utaogopa sana!

Siku hizi watu tunayachukulia maswala mengi nyeti juu juu tu, bila ya kutaka kujuwa uhalisia wake ulivyo.

Huyu Bwanamdogo alikuwa ni kiungo katika mipangilio ya wakubwa.
Sasa sisi badala ya kudadisi kwa undani wake, tunaishia kuona maruerue tu ya kimzahamzaha aliyohusika nayo wakati akitimiza kazi zake alizotumwa na wakubwa kuzitimza.

Sitashangaa kama umauti wake hauhusiani na hiyo kazi aliyokuwa akifanya..
Kama hili ni la kweli basi hali inasikitisha
 
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Na Mama ameenda kuuaga, hatar sana
 
Hamna mwekazaji pale tapeli tu yule alikuwa
HEEEE, HEEEEE.
Hebu sema tena!
Huyo kazi yake haikuwa ya uwekezaji, kama tulivyozoea kwa maana ya uwekezaji.

Uwekezaji wa huyo ndio uliotufikisha hapa leo kama taifa.

Samia asingehangaika naye kiasi alichohangaika, kama uwekezaji wake usingekuwa na maana kubwa zaidi ya ule tunaoujuwa.

Watu na akili zetu timamu ni lazima tuanze kudadisi jambo lililo tofauti kabisa kama la huyu..

Siku hizi waTanzania tumekuwa watu wa kuchotwa akili kirahisi, hatutaki kudadisi chochote zaidi ya kilicho wazi mbele zetu. Hili limekuwa tatizo kubwa sana miongoni mwa jamii.

Badala ya kuhoji ni sababu zipi zinazomfanya huyu mtu kuwa karibu na Samia; tunafunikwa tu macho kwa madai ya yeye kuwa na ukwasi mwingi!
 
1982 ni umri mdogo sana kuwa na hizo hela bila kuwa serikalini....au kuwa kuwadi maserikalini.
Dogo ana kitu cha sie kujifunza..
 
Naona yalikuwa ni matembezi binafsi tu sioni kama yalihusu taifa moja kwa moja au labda Kuna kipande Cha nchi kilikuwa kinamegwa ili auziwe si unajua tena uongozi huu
 
Back
Top Bottom